Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Katiba na Sheria, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara
hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Katiba
na Sheria,wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za
Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)katika
Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...