President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete together with his East African Heads Of States  Counterparts shortly after they signed the Protocol on the Establishment of the East African Monetary Union at Speke’s Bay Resort Munyonyo in Kampala this afternoon.Others from Left Presidents Pierre Nkurunzinza of Burundi, Yoweri Kaguta Museveni of Uganda, The new EAC chairman Uhuru Kenyatta of Kenya, and Paul Kagame of Rwanda.(photos by Freddy Maro.   

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Moja kwa moja yule ng'ombe mwenye miguu mitatu (3) CoW amesha fariki tokea jana!

    Tumaini letu kubwa ni kuwa kila Genge halikosi Dakitari, na Dakitari wa hii Afrika ya Mashariki ni Mhe. Balozi Raisi Jakaya Kikwete wa Tanzania, MZEE WA KAZI !

    1.Ameuwa Kenge kwa kulichapa Kundi la M-23 hadi wakasalimu amri na Kukibmilia kwa Mdhamini wao Mkubwa M-7 wakati Kikwete akituma Majeshi ya JWTZ-UN BRIGADE.

    2.Amewakata Pumzi nagenge lao la CoW na sasa limekufa, baada ya Hotuba nzito ya Ua Kenge kwa kumpiga nyundo kichwani.

    3.Hapo wamekaa lakini wanajua wazi ya kuwa Raisi wa EAC ni JK!.

    ReplyDelete
  2. 'Kitu musuri' sana hiki lakini tunahitaji maelezo zaidi.Mfano Sarafu yetu au ya kila nchi ndiyo haitatumika tena au?Na faida zake ni nini hasa?Shirikisho lenyewe ili limekaa KIMTEGO sana.EURO ilileta mgogoro kidogo kuanzishwa Ulaya.Senegali,Mali,Ivory coast,na vinchi vingine vya Kifaransa vya Africa Magharibi wanayo ile CFA ambayo aliyewatawala anaendelea kuimiliki kwa remote hadi leo.On paper inaonekana(CFA) ina nguvu kiasi dhidi ya US$ lakini haina purchasing power.Tahadhari-Mimi siyo mchumi,naandika tu kupunguza msongo wa mawazo

    David V

    ReplyDelete
  3. nyoka waili kati ya kundi. Aibu yao

    ReplyDelete
  4. Samahani wadau. Mbona hiyo hati ya Mh. JK ina rangi tofauti na nyengine? Au jamaa hakusaini? Maana nahisi huu ni urafiki wa mashaka, kila mtu anasubiri mwenzake alale ili amkate, si mumeouna, mashirikishi ndani ya shirikisho? Hapa si mchezo.

    ReplyDelete
  5. Duuh hata mm nimeiona hio fomu ya JK tofauti na za wengine...kuna nn hapo nyuma ya pazia??

    ReplyDelete
  6. FRED MARO WEKA MAELEZO VIZURI KWA KUANDIKA MAJINA SAHIHI YA MARAIS UMECHANGANYA KAMA MSETO UMEANZA VIZURI UKA RUKA MHS. KIKWETE UKACHANGANYA CHANGANYA.

    ReplyDelete
  7. Yaa hata ya nkurunzinza. ....nayo ni tofauti nahisi kama wao wametafuta karatasi zingine ili kuzuga na ....hao wapiga picha big up Sana jk sisi tutakuwa na pesa ya sadc muda ukiwadia .....waachie hiyo coallition of loosers waunganishe ...madafu yaoooo.

    ReplyDelete
  8. Tatizo kubwa hapa hawa jamaa CoW yaani 'Coalition of the willing' walitarajia makubwa sana ya kufaidika kutoka Tanzania!, wakifikiri Tanzania imelala na watanzania ni wajinga ndivyo wanavyo danganyana hukoi kwao Uganda, Kenya na Rwanda!!!.

    Kumbe ohhh, Mtanzania ni Kichwa!, utamwona kaa bwege lakini akili kichwani na msimamo.

    Ndivyo walivyokuwa wakifikiri mwanzoni na kwa Ushahidi Gazeti lao la The East African huwa nalisoma kila wiki, hawa jamaa hawaja wahi kumzungumzia Mhe.Kikwete vyema lakini baada ya Hotuba ya Dodoma ya 7 Novemba, 2013 waliandka ''PRESEDENT KIKWETE ONE OF THE LEADING ECONOMISTS IN THE REGION SAYS, A POLITICAL FEDERATION WIHTOUT AN ECONOMIC FOOTING IS A WASTE OF TIME, WE NEED TO FOOT FOR CUSTOMS UNION THEN COMMON MARKET BEFORE ENDING WITH MONETARY UNION AND FINALLY POLITICAL FEDERATION'' AND NOT STATING WITH POLITICAL FEDERATION!

    WENYEWE WAKAONA KIKWETE WALIYE MDHARAU AMETOA MANENO YENYE KUONYESHA YEYE NI MTAALAMU PIA WA UCHUMI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...