The Court’s one month session will start this week on Tuesday 5th November and end on Friday 29th same month 2013. The two divisions will both be sitting starting with the Appellate Division which will handle only 2 matters, that is a hearing of arbitration case and to deliver one judgment for an Appeal of Mary Ariviza versus the Attorney General of the Republic of Kenya and Another.
The First Instance Division also continues and is expected to handle 9 matters coming before it. Among these will 3 judgments to be delivered, 3 References, 1 claim, and 1 Application will come up for hearing plus 1 scheduling conference. All matters will be in open Court apart from arbitration case which is only involves the parties and a few judges. In total 11 cases will be handled.
The Court will also hold a plenary to review on the progress, new developments, challenges and opportunities as the year ends. At the same time bidding farewell to Hon. Lady Justice Stella Arch Amoko, Deputy Principal Judge of the First Instance Division, from the Republic of Uganda who will be retiring in November 2013 as her tenure at EACJ ends.
The East African Court of Justice (EACJ or ‘the Court’), is one of the organs of the East African Community established under Article 9 of the Treaty for the Establishment of the East African Community. Established in November 2001, the Court’s major responsibility is to ensure the adherence to law in the interpretation and application of and compliance with the EAC Treaty.
Arusha is the temporary seat of the Court until the Summit determines its permanent seat. The High Courts of the Partner States serve as sub-registries.
Michuzi plz stop kutuwekea vitu ambavyo vishakua mfu,mm ndio kabisa sina mawazo tena na hiyo jumuiya tujipangeni kivyetu jamani,,hii ni sawa na mtu ulieamua kuowa kisha baada ya week 3 unaanza kutafuta watu wakusaidie kumlea mkeo tena wa ndoa, unategemea nn? Zaidi ya hao watu kujipongeza na ile dhahabu ilio kwenye giza la ajabu, naitwa mdudu kakakuona nipo huku UK
ReplyDeleteHii mikutano ya nini tena, wakati hali ni tete ya umoja wetu?
ReplyDeleteTo hell with the so called EAC! Watanzania naomba tujitambue sasa.
ReplyDeleteWadau Msimamo wa Serikali ni kuwa,
ReplyDeleteHatutoki Afrika ya Mashariki moja kwa moja KILICHOBAKI TUTAKUWEPO LAKINI TUKIWA MAKINI SANA.
TUTAKACHO FANYA NI:
1.KUJIKITA KIUCHUMI NA CONGO-DRC, BURUNDI, ANGOLA NA NCHI ZINGINE ZINAZOLIPA KIUCHUMI.
2.KUJIKITA KISIASA NA NCHI HIZO MPYA CONGO-DRC, BURUNDI ANGOLA NA ZINGINEZO KWA MASLAHI ZAIDI.
KAMA WAO RWANDA, UGANDA NA KENYA WALITULETEA USANII WAO WA CoW (Coalition of Willing) NA SISI TANZANIA NA BURUNDI TUMEAMUA KUKAA NAO KISANII !!!
Wadau Msimamo wa Serikali ni kuwa,
ReplyDeleteHatutoki Afrika ya Mashariki moja kwa moja KILICHOBAKI TUTAKUWEPO LAKINI TUKIWA MAKINI SANA.
TUTAKACHO FANYA NI:
1.KUJIKITA KIUCHUMI NA CONGO-DRC, BURUNDI, ANGOLA NA NCHI ZINGINE ZINAZOLIPA KIUCHUMI.
2.KUJIKITA KISIASA NA NCHI HIZO MPYA CONGO-DRC, BURUNDI ANGOLA NA ZINGINEZO KWA MASLAHI ZAIDI.
KAMA WAO RWANDA, UGANDA NA KENYA WALITULETEA USANII WAO WA CoW (Coalition of Willing) NA SISI TANZANIA NA BURUNDI TUMEAMUA KUKAA NAO KISANII !!!
EACJ:
ReplyDeleteHello Ladies and Gentlemen at The EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE, may I ask please?
As we know 'isolation Agenda' done by the K3 is SIN and TABOO for us!
When are we going to bring
to this Court the three (3) Fugitives of the 'Coalition of the Willing'?
Ahhh wapi?
ReplyDeleteHawa jamaa wa 'Coaliton of thewilling' wanajikanyaga kwa sasa na wanajuta sana kwa maamuzi yao mabovu.
Wamejikuta hiyo Miradi yao ya Miundo Mbinu ikihitaji US$ 13 Bilion ,Kenya ikitoa US$ 7 Bilion na Rwanda na Uganda zikitoa US$ 6 Bilion wakati Rwanda na Uganda hiyo Fedha jumla (US$ 6 Bilion) ni mara 2 ya Bajeti zao kwa mwaka 2013/14 !!!
Hivyo Miradi kamwe haitekelezeki, mtaona watakavyo apologize kwenye Kikao 28 November Arusha.
Ukishtushwa na jambo au mahusiano yakabadilika bila kutarajia hekima inataka utulie, utafakari kwanza usije ukajiingiza kwenye maamuzi ya haraka ambayo yanaweza kukugharimu kama ukufanya tathmini ya faida na hasara zake au yanaweza kukuletea kujuta baadaye. Hii hekima ni kwa mahusiano yoyote.
ReplyDeleteEAC yetu ya Mashaka mashaka,
ReplyDelete''Ukitaka kumuuwa nyoka mpige kichwani!''
Watu wanaogopa kusikia eti Kenya imesaini Makubaliano ya Kibiashara na Ethiopia na South Sudan!, hivyo sisi Tanzania tunakuwa hatuna umuhimu kwao Kibiashara. HIO KITU WALA MSIHOFIE KWANZA KENYA WAME BUGI SANA KUSAINI MIKATABA HIYO MIWILI NA NCHI HIZO KWA SABABU HIZI CHINI:
1.Ehtiopia, Sera yao ya Biashara miaka nenda miaka rudi ni kujitosheleza kibiashara kwa Soko la ndani kwa maana Waethiopia wana jikimu kwa bidhaa za mahitaji yao ya ndani kama (i)Chakula, (ii)Mavazi-nguo na (iii)Madawa kwa kuwa Waethiopia wana chakula chao cha asili ambacho Kenya hawaweze kuwahudumia kwa Viwanda vya Kenya kuzalisha ama ku-Process vyakula hivyo , hawana Utamaduni wa Mavazi ya nje wanava mavazi yao, wanatumia Madawa yao asilia kama Traditional Herbs.
HIVYO KITENDO CHA KUSAINI MIKATABA YA KIBIASHARA YA KENYA WAMEKUSUDIA WAO WAETHIOPIA KUUZA BIDHAA KTK SOKO LA KENYA NA SIYO KENYA KUUZA BIDHAA ZAO EHTIOPIA, HILI WAKENYA WAMESHINDWA KUTAMBUA UKWELI HUU INGAWA WAMEISHI NAO KWA MIAKA MINGI WAHABESHI KTK KENYA.
2.South Sudan,
(i)Ni nchi ambayo bado ni changa imepata Uhuru mwaka 2011 kutoka Sudan Kaskazini ya Khartoum.
(ii)Uchumi wake unayumba kwa kuwa 98% ya Uchumi wao unategemea usafirishaji wa Mafuta wakati Uuzaji wa Mafuta kwa bomba kupitia Kaskazini-Sudan Khartoum ulisimama kwa zaidi ya mwaka na kupelekea nchi kuyumba sana kiuchumi na kuwa na Serikalki changa kuwa na madeni Makubwa ya ndani.
(iii)Soko la Kiuchumi la South Sudan ni dogo sana kwa kuwa nchi ina Idadi ndogo sana ya wakazi ambao ni kama 8 Million wakiwa Masikini sana.
HIVYO JEUI YA KENYA KIUCHUMI INAIPATA TANZANIA NA BURUNDI KWENYE SOKO LA BIDHAA ZAKE WAKATI TANZANIA INATUMIA 60% YA BODHAA KUTOKA KENYA NA BURUNDI INATUMIA 75% YA BIDHAA KUTOKA KENYA.
HIVYO UAMUZI WA KENYA KUSAINI MIKATABA NA ETHIOPIA NA SOUTH SUDAN ULIKUWA NI ILE KUTAPA TAPA KWENYE HIYO CoW 'Coalition of the Willing' yao akina K-3 BILA KUJUA NA KUSOMA DALILI KAMA MIKATABA HIYO YA KIBIASHARA ITAKUWA NA TIJA KIUCHUMI AU LA.
..................................
''kumuuwa nyoka mpige kichwani''
..................................
KAMA TUKITAKA KUIKOMOA KENYA KWA HATUA YEK HIYO NI KUFANYA HIVI:
TUTUMIE KODI HIYO (i) CHINI NA KANUNI ZA KIBIASHARA (ii) CHINI TULIZO NAZO KTK SADC NA COMESA AMBAYO KENYA NI MAWANACHAMA WAKE.
(i)CET-Common External Tariff
(ii)FTA-Free Trade Area
TUNAWEZA KUONGEA NA NCHI ZA KUSINI ZA SADC AMBAZO ZINGINE ZIMO COMESA KAMA MSUMBIJI NA ZAMBIA AMBAZO PIA NI SADC NA TUKAONGEA NA ZIMBWABWE NA SOUTH AFRICA UKAWEKA KODI SAWA NA KUSHUSHA KODI NA PIA KUPUNGUZA MASHARITI YA KUINGIZA BIDHAA YA AINA YA BIDHAA AMBAZO TUNAINGIZA KUTOKA KENYA, NI KUWA BIDHAA KAMA SIAGI, SABUNI ZA KUOGEA NA KUFULIA NA MAFUTA YA KUPIKIA, MADAWA NA VINGINEVYO KUTOKA NCHI ZA KUSINI VITASHUKA BEI SANA HIVYO BIDHAA ZA KENYA ZITAKOSA SOKO TANZANIA KWA KUWA NA BEI YA JUU ZAIDI KULIKO ZA KUTOKA KUSINI NA HAPO TUTAKUWA TUMEWEZA KUIKOMOA KENYA KIBIASHARA!!!. NA PIA TUTAWEZA KUWA NA NJIA NYINGINE KULIKO KUITEGEMEA KENYA KIBIASHARA HASA KWA BIDHAA ZA MATUMIZI (HOUSEHOLD COMMODITIES).
Kata ngebe ya kupata MBADALA WA BIDHAA ZA KENYA ZINAZO FURIKA KTK SOKO LA TZ NI HII HAPA:
ReplyDeleteSolution ni Kushusha Ushuru wa CET (Common Externa Tariff) na kutoa FTA (Free Trade Area) kuelekea nchi za Kusini Zambia, Zimbabwe, Namibia na Afrika Kusini nchi ambazo zinazalisha bidhaa za Mahitaji kama Colgate, Sabuni za Kufulia, Kuogea ,Madawa na Mafuta ya Kupikia na Vitu vya bidhaa za Mahitaji vya Makopo ambavyo Kenya inazalisha na kutegemea Soko lake Tanzania.
HII KITU IKIFANYIKA MTAONA KENYA ITATUPIGIA MAGOTI TANZANIA KWA KUWA TUTAKUWA TUMEWASHIKA PABAYA
Kwa vile Bidhaa za Kenya zitakosa soko TZ ma zitakuwa ni Bei ghali na kupoteza Ushindani mbele ya Bidhaa za namna hiyohiyo zinazotoka nchi za Kusini.