Mshambulia wa Taifa Stars, Mrisho Ngasa (kulia) akichuana na mchezaji wa Future Young Taifa Stars, Kabanda katika mchezo kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Future Young Taifa Stars wameshinda bao 1-0.
Kiungo wa Taifa Stars, Athuma Idd "Chuji" akichuana na mchezaji wa Future Young Taifa Stars,Paul Nonga.
Beki wa Stars Erasto Nyoni (kushoto), akichuana na mshambuliaji wa Future Young Taifa Stars, Simon Msuva.
Erasto Nyoni akipimana ubavu na Simon Msuva.
Chuji akimtoka Paul Nonga.
Uniwezi bwana mdogo......Chuji akichuana na Paul Nonga wa Future Young Taifa Stars.
Makocha wakijadiliana jambo wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wakishuhudia mechi hiyo kupitia katika jengo la Machinga Complex.
Msuva akitoka baada ya kuumia.
Moja ya hekaheka. Picha zote na Francis Dande

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. katika picha ya mwisho zaidi ya nusu ya wachezaji wamekusanyika sehemu moja ikiashiria kwamba wote wanafuata mpira kame mechi za mchangani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...