a Kenyan website owned by the Standard Digital News run a story with a headline “Drought in Tanzania forces wildebeest back to Mara reserve”. The story written by Kipchumba Kemei among other issues claimed that “Hundreds of thousands of wildebeests that migrated to Serengeti plains in Tanzania from Maasai Mara Game Reserve two months ago have returned.

The abnormal occurrence has been necessitated by drought that has affected many parts of Tanzania including Serengeti National Park. “The drought has forced them to return to Mara where there is enough pasture for them.

Tanzania National Parks would like to clarify to the public that the Great Serengeti Wildebeest Migration is the movement of vast numbers of the Serengeti's wildebeest, accompanied by large numbers of zebra, and smaller numbers of Grant's gazelle, Thompson's gazelle, eland and impala.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hawa jirani zetu kazi ipo.

    ReplyDelete
  2. Washindwe wao walegee wote wakenya mambo ya kutuhalibia mambo yetu,,mm nilishasemaga hawa wakenya ni ss tu tunajipendekeza kwao lakini wao ndio maadui wetu wakubwa,,nashangaa kila siku serikali wadai eti majilani zetu wema jamani mchawi silazima mpaka akuloge hata maneno au matamshi yake utajua tu yakwamba huyu ni mchawi tu,,mm nawachukia wakenya kama wanavyo tuchukia huku huku Ugaibuni niliko siwapi chance kabisa napambana nao kisawa sawa nyie huko nyumbani endeleeni tu kuwaona ni majilani wema ila ipo siku mtakuja kujuta na kukubaliana na mm

    ReplyDelete
  3. Waelewa wa mambo wanaelewa nini? kinacho walazimisha wanyama hawa kuhama kila ifikapo miezi kam hii.Ni mmja wapo ya natural wondering, na hii ipo hivi kutoka karne mpaka karne, kwa hiyo hata wakenya wandikeje bado watu waliowengi wanaelewa hii Immigration ufanyika kila mwaka, ni kwamba hawa wanyama wanahama wakisubiri mvua inyeshe na majani yaote ili waweze rudi tena, lakini ukikutana na wandishi dumbas, ndio watandika upuzi kama hawa wakenya, na hii Immigration ipo hata kwenye Animal planet, national geography nimesha ona na wanaelezea vizuri sana kinachowafanya wahame, ni natur. ila dumbas kenya wandishi wanazani ndio watajipatia masifa kwao, kati ya TANZANIA na KENYA nini? wanaongoza kwa ukame!!!! jibu ni KENYA sehemu kubwa ni ukame, ukiachia masai mara tu

    ReplyDelete
  4. ni kweli hata huku finland wanajitenga sana.hawapendi kuwa na watanzania.wanajiona wasomi sana wao ndio wanajua kingereza, sisi hatujui.vyuo wanavijua wao elimu wanayo wao.wakati ilikua zamani sio sasa. Tanzania ile ya zamani mnayo ijua sio hiyo.mambo yamebadilika.

    ReplyDelete
  5. Anonymous wa Kutoka Finland.
    Kwanza, sikubakiani na hiyo report kuhusu migration iliyo andikwa na Standard online. Ni kutoa taswira tofauti na natural flow ya hawa wanyama inavyokuwa.

    Pili, kuhusu Wakenya kujigamba kwa elimu yao bora...... hapo wana haki ya kuwa na hizo bragging rights.
    Soma maandishi ya wadau hapo juu tu uone! Kuna anaesema yuko Ughaibuni, hajasema wapi, hata kuandika Kiswahili mbinde!
    Tumeumizwa Watanzania na Mulugi, Kawambwa na walio watangulia.
    Wengi elimu zetu uchwara kwani ni kweli kabisa hata tukipata fursa ya kisoma ughaibuni, msingi wa lugha na elimu hafifu inafanya tuhangaike sana masomoni. Waache waringe na elimu yao bora. Hata tukijitia na uzalendo wa kivipi, hatuwakaribii ng'o!!
    Hicho Kiswahili kinatupa tabu ije iwe Kiingereza??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...