Wawezeshaji wa TASAF wakiwa katika harakati ya kupata orodha ya kaya maskini wakati mwingine walilazimika kutumia vyombo vya majini ili kuzifikia. Hapa wanaoonekana ni Kikwappe, Mama Mtambalike, Dachi, Makame, Latemba na Tegemea ambao ni wawezeshaji wa kitaifa katika mpango huu wa kunusuru kaya maskini.
Home
Unlabelled
Harakati za TASAF kuzitambua kaya maskini ndani ya wilayani Kilwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...