Mkuu wa Chuo cha Michezo Tanzania Allen Alex, akisisitiza kitu, alipokua akizungumza na Maafisa Michezo wa Wilaya na Walimu wa Skuli mbalimbali za Zanzibar hawapo pichani, kushoto kwake Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Bihindi Hamad Khamis, Katibu mtendaji Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar (BTMZ) Hasan Khairallah katika ukumbi wa Baraza la Taifa la Michezo Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.
Maafisa Michezo wa Wilaya na Walimu wakimsikiliza Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Bihindi Hamad Khamis hayupo pichani, kabla ya kuyafungua mafunzo hayo.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Bihindi Hamad Khamis, akizungumza na Maafisa Michezo wa Wilaya na Walimu mbalimbali, mafunzo hoyo yataanza kesho kwa muda wa siku 3 katika ukumbi wa Baraza la Taifa la Michezo Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.Picha na Makame Mshenga wa Maelezo-Zanzibar


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...