Home
Unlabelled
JESHI LA POLISI YAONYA DHIDI YA MATUMIZI MABAYA yA SILAHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ivi kazi ya jeshi la polisi ni kutoa onyo kali? Kwenye nchi inayoendeshwa kwa kufuata demokrasia ni kwamba wanafuata sheria inasemaje kuhusu jambo fulani.
ReplyDeleteKuhusu matumizi mabaya ya silaha zinazomilikiwa kihalali ni wajibu wa waliopewa majukumu ya kuongoza nchi kuangalia namna gani tunaweza kupunguza matumizi mabaya kwa waliomilikishwa kihalali. Njia ziko nyingi ikiwa pamoja na kutunga sheria ambayo inaweza kuongeza masharti zaidi ya mpaka mtu amiliki silaha au kuwapa elimu ya maadili ya mara kwa mara kwa wale wote wanaomiliki hizo silaha.
Kila la kheri Afrika kuelekea kwenye utawala bora
hili swala la umilikishaji silaha halikufanyiwa utafiti wa kutosha kulingana na jamii yetu na watu wengi walilipinga sana ... ukitaka kugundua tulikosea ni kuwa uhalifu sasa ndio umepamba moto kuliko hata kabla ya hapo
ReplyDeletekilichotakiwa ilikua ni kuimarisha jeshi la polisi ili kuweza kukabiliana na vitendo vingi vya kihalifu nchini
hali ilipofikia itakua ni mwendo wa matamko tu, wakati watu wakizidi kuuawa au kuumia
tanzania tunatakiwa tujifunze kutatua matatizo kwa njia sahihi na kwa muda mrefu na si kuangalia njia za short cuts na lobbying ya wenye pesa
Umiliki wa halali upi acheni mambo yenu,. Unaletewa fomu mjumbe wa mtaa wako unampa rushwa elfu 10 anasaini,unatoa 1.5m unaletewa silaha mpaka mlangoni biashara imekwisha. Na bado kitanuka kweli kweli kwa rushwa zenu hizo kutoa silha kama njugu.
ReplyDelete