Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ivi kazi ya jeshi la polisi ni kutoa onyo kali? Kwenye nchi inayoendeshwa kwa kufuata demokrasia ni kwamba wanafuata sheria inasemaje kuhusu jambo fulani.

    Kuhusu matumizi mabaya ya silaha zinazomilikiwa kihalali ni wajibu wa waliopewa majukumu ya kuongoza nchi kuangalia namna gani tunaweza kupunguza matumizi mabaya kwa waliomilikishwa kihalali. Njia ziko nyingi ikiwa pamoja na kutunga sheria ambayo inaweza kuongeza masharti zaidi ya mpaka mtu amiliki silaha au kuwapa elimu ya maadili ya mara kwa mara kwa wale wote wanaomiliki hizo silaha.

    Kila la kheri Afrika kuelekea kwenye utawala bora

    ReplyDelete
  2. hili swala la umilikishaji silaha halikufanyiwa utafiti wa kutosha kulingana na jamii yetu na watu wengi walilipinga sana ... ukitaka kugundua tulikosea ni kuwa uhalifu sasa ndio umepamba moto kuliko hata kabla ya hapo

    kilichotakiwa ilikua ni kuimarisha jeshi la polisi ili kuweza kukabiliana na vitendo vingi vya kihalifu nchini

    hali ilipofikia itakua ni mwendo wa matamko tu, wakati watu wakizidi kuuawa au kuumia

    tanzania tunatakiwa tujifunze kutatua matatizo kwa njia sahihi na kwa muda mrefu na si kuangalia njia za short cuts na lobbying ya wenye pesa

    ReplyDelete
  3. Umiliki wa halali upi acheni mambo yenu,. Unaletewa fomu mjumbe wa mtaa wako unampa rushwa elfu 10 anasaini,unatoa 1.5m unaletewa silaha mpaka mlangoni biashara imekwisha. Na bado kitanuka kweli kweli kwa rushwa zenu hizo kutoa silha kama njugu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...