Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia Taifa kupitia Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2013.
Home
Unlabelled
JK Ahutubia Taifa kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano mjini Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Mhe. Raisi Kikwete,
ReplyDeleteAhsante sana kwa Hotuba nzuri sana!
La muhimu kama tulivyoona dalili zote hasa kuanzia tunachohisi wao Wanaotutenga Kenya,Rwanda na Uganda kukereka na sisi ARDHI, UHAMIAJI NA AJIRA, huku tukiona hawaeleweki tunahitaji na sisi kukaa kwa tahadhari zaidi.
Maeneo yote ya Maazimio ya Afrika ya Mashariki inaelekea sisi Tanzania itatugharimu hivyo ndio maana kwa kuwa wao ndio wanufaikao WAMEAMUA KULAZIMISHA KUTUSAINISHA PROTOCALS (Maazimio) NA WALIPOONA HAITOSHI WAKAAMUA KUTUTENGA.
Lingine la ajabu Mpangilio unatakiwa uanzie kwenye
1.SINGLE CUSTOMS halafu
2.COMMON MARKET halafu
3.POLITICAL UNION na mwisho
4.MONETARY UNION.
Sasa wenzetu wanataka tuanzie POLITICAL UNION sasa hapo inatia wasi wasi na haraka zao ni kwa nini?
Mimi naona hii EAC ni Kasa mwenye sumu!
ReplyDeleteTule finyango zake tukiwa makini.
Mdau wa Kwanza:
ReplyDeleteKila kitu kinahitaji mpangilio kam ulivyosema,
1.Single Customs
2.Common Market
3.Political Union
4.Monetary Union
Hivyo kuimarika kwa Jumuia Kamili kunamaliziwa na KUBWA LAO ambalo ni MONETARY UNION na kwa Utaalamu ikifikia Monetary Union ndiyo inakuwa FULL INNTEGRATION yaani MUUNGANO ULIOTIMIA.
LAKINI MUUNGANO HAUTIMII NA KUWA IMARA KAMA MSINGI WAKE NI MBOVU KWA MIHIMILI No.1, No.2 na No.3
Inakuwa ni sawa na kupaka rangi kuta za nyumba wakati labda hata kuta zenyewe hazijajengwa !,,,hapo itakuwa mtu unapaka rangi hewani !
ZAIDI YA HAPO PANA MIHIMILI NYETI ZAIDI YA No.1 mpaka No.3 kabla ya Full Integration MIHIMILI HIYO YAANI 'Institutions' ni UKIACHILIA BABA LAO 'Monetary Union' NI BABU LAO YAANI 'COMMON JUSTICE'.
KWA KUWA BILA KUWA NA COMMON JUSTICE MTAFUNGISHANA VIPI MIKATABA YA MAKUBALIANO?
WAKATI WANAOFUNGISHWA MIKATABA YA MUUNGANO NI WATU VIGEUGEU NA WASIO AMINIKA MARAISI AMBAO ASILIA YAO NI UJAMBAZI WA VITA MISITUNI KABLA YA KUINGA IKULU?
JE, HIYO SIYO HATARI?
TAZAMENI KATIKA MWANZO HUU TAYARI HAO K3 WAMEKIUKA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU ZA MUUNGANO.
HAYO NDIO MAAJABU YA MUUNGANO WANAO UHARAKAISHA AKINA K3 NA''THE COALITION OF WILLING'' YAO!
Kwa uzoefu gani wa Muungano walio kuwa nao akina K3?
ReplyDeleteAngalieni,
Sisi Tanzania tunao Muungano mmoja wa iliyo mikongwe zaidi duniani tokea mwaka 1964.
Sasa leo Kagame atakuwa na uzoefu gani wa Muungano wakati mwaka 1964 yeye alikuwa na umri wa Miaka 5?
1.Kaguta ana uzoefu gani wa Muungano wakati nchi yake hadi sasa imepitia Mapinduzi na kubadili Maraisi karibu 10 huku yeye akiwa Mgambo wa Msituni?
2.Kagame ana uzoefu gani wa Muungano wakati mwaka huo 1964 yeye alikuwa mtoto wa Kikimbizi nchini Uganda?
3.Uhuru ana uzoefu gani wa Muungano wakati yeye mwaka 1964 alikuwa na umri wa mwaka 1 akiwa Ikulu Nairobi?
WAKATI MUUNGANO UNAFANYIKA MWAKA 1964 Mhe.Dr.JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIKUWA TAYARI NI KIJANA WA CHAMA CHA TANU AKIWA NA UMRI WA MIAKA 14 HUKU AKISHIRIKI SIASA SAMBAMBA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE!!!
ndugu rais nafikiri haya mambo ya muungano hayana manufaa na yana matatizo yake kama vile mwanamke na mwanaume kabla hawajaoana mambo yanakuwa sio mabaya kwa sababu kila mtu ana uhuru wake , lakini wanapooana tu matatizo huanza.Kila mtu achukue nchi yake, sisi tuchukue yetu tuiendeleze tunavyotaka, na wale wazanziba kule wapeni visiwa vyao waache kutupigia kelele kila siku, kila mmoja abebe mzigo wake
ReplyDeletePengine lilikuwa kosa kuikubalia uwanachama Rwanda katika Jumuiya. Huwezi kuwa na Jumuiya yenye manufaa ya kweli kama wengine bado wana tawala za kimabavu zisizokuwa za kidemokrasi. Kagame asionewe haya anapokosea aambiwe ukweli Rwanda miaka zaidi ya 50 imekuwa mzigo kwa Tanzania kwasababu ya matatizo yake ya ndani. Mzee Museveni naye anatawala Uganda. Tuuangalie Umoja wa Ulaya, msingi wa mafanikio yaliopo ni Demokrasia na utawala bora, kama hilo haliko Jumuiya ya Afrika Mashariki itakuwa ni kuendeleza na kurundika matatizo. Bahati mbaya Uhuru Kenyattanaye ametekwa nyara baada ya kuungwa mkono kuhusiana na mahakama ya kimataifa ICC na Rwanda na Uganda.
ReplyDeleteDoes the real Tanzanian care about the the EAC, I think they have urgent needs like housing, food, health and education. Come on wabongo watu wataka chakula siyo hayo mashirikisho yanayo create another bureacracy tu.
ReplyDeleteJEMBE Umenena
ReplyDeleteila naona sisi watanzania tunalalamika sana. pia tuko disadvantageous ktk elimuuuu.
ReplyDeleteumakini si hoja. elimu yetu kwa majority ni hafifu. mnakumbana na wenye elimu majority.
Jakaya Kikwete,
ReplyDeleteWaeleze Maraisi wenzako akina K3 ya kuwa
1.Muungano hauharakishwi kwa nchi Wanachama kulazimishana Kusaini Maazimio (Protocals).
2.Wasifikiri uwezekano wa kutatua Matatizo ya nchi zao kwa Kuwagharimu nchi zingine, bali kutatua matatizo kwa kuchangia sawasawa na Nchi wanachama kukabiliana na changamoto hizo kwa pamoja.
3.Aelezwe wazi Katibu Mkuu wa EAC Dr. Richard Sezibera kutumikia Mamlaka ya Muungano wa EAC na sio kumtumikia Raisi wake wa Kigali.
MOJA KWA MOJA Dr. Sezibera Katibu Mkuu anastahili kufukuzwa kazi kwa kutowajibika Kikazi kwa kuwa yeye ndiye alitakiwa kuhakikisha ya kuwa Vikao vyote Vinavyostahili Kikanuni kwa nchi zote (5) Wanachama vinashirikisha nchi zote na sio nchi tatu (3) tu.
Mi naona tushikamane zaidi kama nchi kwa 1. Tuweke misingi imara ya uchumi
ReplyDelete2.Siasa zijali masilahi ya nchi zaidi
3.Tuimarishe kilimo ili kila mwaka watufuate kwa chakula
4.Mafisadi wote bila kujali nani warudishe pesa zote ili zisaidie kuziba mapengo na kujenga uchumi
5.tuwe na kampeni kwa watanzania kuwa na nidhamu kama wachina
nk naona tutafika tu.
KWA MTAZAMO WANGU,WALA HAINA HAJA SANA KUWA KWENYE HUU MUNGANO, ZAIDI ZAIDI TANZANIA IKIJIWEKA KAMA MEMBER TU INATOSHA, AS EAST AFRICAN COMMUNITY
ReplyDeleteMshasikia raisi ka seam hakuna kutoka sasa Wooten piga kimyaaaaa love u my president umeni touch sana wale wajinga wanaosema kujitoa sasa kimyaaaa
ReplyDeleteMheshimiwa Raisi huwa anaonyesha diplomasia ya hali ya juu.Mi huwa sielewewi Waziri wa mambo ya nje huwa anaongea bila kushauriwa? Mh anaetarajiwa kuwaomba uraisi anaongea kama mshabiki kitu ambacho hakisaidii.je akiwa Raisi si atatupeleka kwenye vita?make ameshatoa matamshi mengi ya kuogopesha. 1. juu ya Malawi na sasa EA. Mh Raisi tunaomba ututafutie Raisi mwenye busara sana kwa sababu baada yako bado kutakuwa na tension ambayo inahitaji busara sana kama za kwako.
ReplyDeleteMhe. Raisi Kikwete,
ReplyDeleteKwa kawaida mtu anapokosa hatua hizi hapa chini hufuatwa:\
1.Hushitakiwa,
2.Husomewa Makosa yake,
3.Huadhibiwa ama kuonywa.
Sasa hawa jamaa Maraisi wenzako watatu Museveni, Kagame na Kenyatta wamafanya Makosa KWA KUKIUKA KANUNI YA MUUNGANO (BREACHING EAC TREATY) sasa tunafikiri hatu hizo No.1,2,na 3 zifanyike kwenye Kiko Kijacho cha tarehe 30 Novemba , 2013 !!!
TUNATAKA KUONA BURUNDI NA TANZANIA ZINAWA WEKA KITIMOTO WANAKUA GRILLED KWENYE KIKAO.
MUHESHIMIWA RAIS KIKWETE.HVI NI LAZIMA TUWE NA EAST AFRICA FEDERATION? KWANINI?
ReplyDeleteKINGINE NI KWAMBA NAVYOELEWA MIMI KATIKA MUUNGANO WA NCHI,KUNA MAMBO YANAYOHUSU JAMIII HUSIKA NA WANANCHI LAZIMA YAPATIWE UFUMBUZI.MFANO,DEMOCRASIA YA UKWELI,TAWALA BORA,UKABILA NA UDINI.JE NI NCHI HIZI ZINA DEMOCASIA,UGANDA MFANO NA RWANDA HAWANA DEMOCRACY YA UKWELI.NA PIA TUANGALIA UTWALA BORA,M7 AMEKAA PALE MIAKA MINGAPI LEO HII ANATAKA KUWA RAIS WA EAST AFRICA FED KWA MANTIKI GANI,NA KWA UONGOZ GANI ULIOTUKUKA.PIA TUKUMBUKE HAWA WATU WANAUKABILA.TUNAKARIBISHA UKABILA NDANI YA TANZANIA NA CHUKI.NAOMBA TUSITAZAME SANA MERITS ZA KUFANYA BIASHARA TUANGALIE HIL SWALA KWA UPANA MKUBWA SANA NA KUANGALIA HATA VIZAZI VIJAVYO.TUANGALIE EUROPEAN UNION ILIPOFIKA NAOMBA SANA TUSIENDE HUKU.LAZIMA TUWE NA IDENTIY YETU KAMA TANZANIANS NA SIO EAST AFRICANS.HII EAST AFRICAN COMMUNITY CAME TO CLIMAX AFTER SEVERAL FACTORS THAT WOULD HARM MORE THE OTHER COUNTERPARTS IN MANY VARIETY OF SOCIAL AND ECONOMICS,LAND ETC.HAPA TANZANIA HATUNA FAIDA ZAID YA MASOKO.ZAID YA HILI KILA MTU ABAKI KWAKE.SIDHANI KAMA WATANZANIA WANATKA HILI JAMBO HILI NAAMINI.
TANZANIA KWANZA NA TANZANIA DAIMA.SAY NO TO EAC FEDERATION.w
Tatizo ni baadhi ya marais kama akina Kagame na Yoweri Kaguta M7
ReplyDeletewanamatatizo ya kutokuheshimu hata katiba za nchi zao na kujiamlia kuzitawala nchi zao kimabavu.
(a) Kagame na Museveni hawana uzoefu wa kisiasa kwani back ground zao ni wanamgambo wa msituni kwa mtindo wa kuchinja chinja ndio uliowaingiza madarakani
(B) Maamuzi wanayofanya ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki yanafanana na vikundi vya magaidi na wapiganaji wa msituni
na msingi wao mkubwa ni ukabira,Mseveni yupo madarakani kwa muda mrefu sasa! na waganda wanatawaliwa kifalme sio kidokrasia hatushangazwi na anayoyafanya
Tanzania wajanja kweli ATI tuanze na Common market na single customer na ushuru ati ulipwe nchi ya mwanzo mizigo inapoingia
ReplyDeleteHili halikubaliki mtainyonya ZNZ tu kwa maana hiyo RWANDA NA UGANDA zitanufaika na nini nazo ni land locked countries
Haya kama la mafuta ni lao Kenya Uganda Sudani Je Zanzibar mbona mnalitaka la Muungano...Undumila kuwili ...
Kwanza Pongezi Mhe.Rais JK na wabunge kwa kutoa fulsa ya kujulisha wananchi nini ?Kinachojili ktk jumuyia ya Afrika mashariki
ReplyDeleteYanayofanywa na kina K3 si ya kushangaza,kwa kuwa kiongozi
na style ya kuongoza nchi inategemea
uzoefu wa kiongozi kuanzia utotoni mwake alilelewa vipi?
Viongozi wanaolalamikiwa kuanzisha zengwe yaani K3 viongozi hawa hawana hata sifa bora za kuongoza nchi kwa mfumo wa kidemokrasia kwa sababu ya historia ya maisha na jinsi walinyoingia madarakani kwa mara ya kwanza....walitumia njia hizi hizi za mizengwe na hujuma wa
uwana mgambo wa msituni !
Sasa hapa wasichokipenda kwa watanania ni tabia na mila za kitanzania za kuwa wa wazi wa kusema hiki tunapenda na hiki hatupendi,
Kinachowauma ni hile tabia ya kitanzania yaani mtawala mkuu anaweza kuwaita ikulu wapinzani na kujadili tofouti za kisiasa adi muafaka ukapatikana kwa maslahi ya nchi na watanzania.
Wenzetu utamaduni huu hawana ndio maana mahamuzi yao yapo kimzengwe mizengwe.na Wivu na Usda ndio unawasumbua hadi kufikia kujichukulia mambo kienyeji.
Tunasonga mbele hatuteteleki
MDAU
MSEMA KWELI
K'koo
Mhe.Raisi Kikwete,
ReplyDeleteHongera sana kwa Hotuba yako nzuri na iliyoeleweka vizuri sana na kwa kututoa wasiwasi na kutupa matumaini Wananchi.!!!
Waeleze Maraisi wenzako akina K3 ya kuwa.
Kuwa kuna tofauti kati ya Uongozi na Utawala, wewe ni Kiongozi na wao ni Watawala.
Kwa sababu TOFAUTI KATI YA KIONGOZI NA MTAWALA NI KUWA
(i)KIONGOZI NI YULE ANAYESHIRIKIANA NA WANANCHI KWA KILA JAMBO.
(ii) MTAWALA NI YULE AMBAYE ANAFANYA MAAMUZI YEYE BINAFSI KAMA YEYE NA BILA KUWASHIRIKISHA WANANCHI WAKE...(Ni wazi Maamuzi mengi wanayof anya akina K3 hayawashirikishi wananchi bali ni matashi binafsi ya Viongozi hawa)
WAELEWE AKINA K3 YA KUWA:
1.TANZANIA NI NCHI YENYE RULE OF LAW AND SOCIAL JUSTICE (UTAWALA BORA NA MAAMUZI YA WENGI) KWA MATENDO SIO YA MAKARATASI.
HIVYO KILA MAZIMIO (PROTOCALS) LA AFRIKA YA MASHARIKI MAMLAKA NA WEWE KIONGOZI WETU UNAANGALIA WALIO WENGI WANASIMAMIA VIPI, NA NDICHO KINACHOFIKA HUKO KENYE EAC.
2.MASUALA YA AFRIKA YA MASHARIKI AMA MUUNGANO WOWOTE ULIO KUWA SAHIHI YANAWAHUSU WATU NA SIO VIONGOZI, KAMA WAO WANAVYO FANYA...EAC IS CITIZEN CENTERED AND NOT LEADER/ PRESIDENTIAL CENTERED.
AKINA K3 WAACHE UDIKTETA KTK MAAMUZI YA AFRIKA YA MASHARIKI, HUO SIO MWENENDO AMBAO WATANZANIA WANAUTAKA.
3.WAELEZE AKINA K3 WAJIFUNZE KUWAFIKIA WATU WAO WANANCHI NA KUWAPA USHIRIKIANO KTK MACHAGUZI NA MAAMUZI YA MASUALA YOTE YA JUMUIYA NA SIYO KUJICHUKULIA MAAMUZI BINAFSI, KAMA KAGAME ANAVYO MUINGILIA KATIBU MKUU WA EAC Dr. SEZIBERA KTK KAZI YAKE NA KUMWAMURU AENDESHE JUMUIYA KAMA KAGAME ANAVYOTAKA NA KUNDI LAKE.
Mdau wa 19 hapo juu.
ReplyDeleteNi kweli hawa jamaa akina K3 hawana Utamaduni wa Utawala Bora na Uongozi wa Maamuzi ya wengi kwa kuwa wote hawana ustahimilivu wa ile Kuzungumza na Wapinzani wao.
1.Uhuru Kenyatta,
Pana uwezekano mkubwa hana mawasiliano na inawezekana pia hawashirikishi Wapinzani wake ktk masuala hata yale ya Kimsingi ambayo Mpinzani anaweza asilete Madhara yeyote hajawahi kuwaita Ikulu tokea ashinde Uchaguzi mwezi Machi-2013.
2.Kaguta M-7,
Yeye kila kukicha ni virungu na Makonde dhidi ya Wapinzani wake akina Rt. Gen. Mugisha Muntu na Dr .Kizza Besigye ile hata kuwaita Ikulu na kuongea nao haiwezekani.
3.Kagame,
Ndio kabisa, hana mfungamano na Wapinzani wake alipopewa Ushauri na Dr.Jakaya Kikwete kukaa na Waasi wa FDLR iliwafanye maongezi na kuondoa tofauti zao ndio kwanza anachukia hadi yanatokea yote haya hapa!,,,Wapinzani wa KAGAME wanachagua Maisha ya aina tatu (3) hizi, (i)KUKAA MSITUNI,(ii)KUWA NDANI YA RWANDA LAKINI GEREZANI (iii)KUISHI UHAMISHONI...zaidi ya hayo Kagame ndiye Raisi dhalimu zaidi kwa Wanahabari na Wapinzani wa Kisiasa ktk AFRIKA!!!
HAWA AKINA K3 WANASTAHILI KURUDI DARASANI JUU YA SOMO LA UTAWALA BORA NA UONGOZI WA KUWASHIRIKISHA WANANCHI VITU MBAVYO NDIYO DIRA KTK MASUALA YANAYOHUSU JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI.
Akina K3 Afrika ya Mashariki
ReplyDelete1.Haiendeshwi kwa KUSHINIKIZANA KTK KUYAFIKIA MAAMUZI YA KUSAINI MAAZIMIO.
2.AFRIKA YA MASHARIKI, INAENDESHWA KWA KUFUATA KANUNI, SHERIA NA TARATIBU KAMA ILIVYO AINISHWA KTK EAC TREATY.
3.EAC HAIHITAJI KUHARAKISHA MAMBO, KITU CHA MUHIMU NI UBORA WA MUUNGANO KWA MISINGI YA KANUNI ZA MSINGI NA MANUFAA YA MUUNGANO KWA NCHI WANACHAMA NA WANANCHI NA SIO UHARAKA WA KUYAFIKIA MAMBO.!
Afrika ya Mashariki inayumba tatizo linaanzia kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Dr.Ricard Sezibera kutoka Rwanda na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri Shem Bageine kutoka Uganda.
ReplyDeleteInaonekana mambo mengi yanayumba kwa watu hawa wawili hasa Dr.Sezibera hafai kuongoza Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwa kuwa maamuzi yake na Uongozi wake vinaathiriwa sana na Raisi wake aliyepo Kigali.
Haiwezekani Katibu Mkuu aliyesoma hadi akaitwa Dakitari akaruhusu Viongozi wakakiuka Kanuni za Kikazi na Muungano huku yeye akiruhusu nchi tatu (3) zikae Vikao vya mambo ya Kiada ya Jumuiya na isiwe nchi zote tano (5)zinazo stahili!
Dr.Sezibera ZAIDI anatakiwa kutimuliwa ama awajibishwe na kujirekebisha afanye kazi kama Katibu Mkuu wa EAC na sio kama Personal Secretary wa Raisi wake Kagame aliyepo Rwanda nchini kwao.
Kikwete juuuuuuu!
ReplyDeleteAmfunika Kagame vibaya sana.
Kikwete ameuwa Kenge na kufunika ktk EAC sasa wanatafutana!
Kufuatia Hotuba iliyoenda shule na yenye akili ya Mhe.Raisi Kikwete wanakanyagana Kigali, wanatapa tapa Afrika ya Mashariki nzima.
HOJA NZITO ALIZOTOA RAISI KIKWETE, WAMEKOMA NA WANAJUTA SANA, ZIMEWANYAMAZISHA KABISA 'COALITION OF WILLING' WANAJUTA KUUNDA KUNDI NA SASA WANAHANGAIKA WATAJIELEZA VIPI KWENYE KIKAO KIJACHO.
Nimepitia Magazeti Makuu kadhaa ya Rwanda kwa kuyafikia kwa njia ya Mtandao baada ya Hotuba ya Kikwete Bungeni Dodoma juzi tarehe 7 November, 2013 kuanzia jana huko Kigali yamejiri haya:
1.Kigali-Rwanda, Raisi Kagame ameita Baraza la Mawaziri na kuzungumzia marihdiano na kuondoa tofauti na Muungano, HII NI ILE TAHARUKI ILIYOTOKEA BAADA YA TUHUMA ZA TANZANIA DHIDI YA RWANDA KTK EAC.
2.Waziri wa Mambo ya nje wa Rwanda Louise Mushikiwabo ametoa kauli jana warejee tena kwenye umoja wa nchi za Afrika ya kati ECCAS wakati huku wakiwepo EAC kwa kuwa mwaka 2007 walipoanza kuingia EAC walijitoa ECCAS sasa wanarejesha uwanachama.
Lakini Balozi mmoja wa Rwanda na yeye Waziri walipoulizwa ni kwa nini wanarejesha Uanachama walioondosha kabla, wakasema ktk EAC tumekuwa ni Wanachama tusiopewa nafasi ya kuamua mambo...SASA UAMUZI HUU NA KAULI HIZI NI MTIKISIKO KUFUATIA KAULI YA KIKWETE DODOMA JUZI.
Dr. Kikwete amempiga (TKO) technical knock out Kagame!
VYANZO:
CHANZO-1
http://www.therwandan.com/blog/tanzania-will-never-quit-the-east-african-communitykikwete/
CHANZO-2
http://www.newtimes.co.rw/news/index.php?i=15536&a=71965
Chezea Tanzania weye?
ReplyDeleteDuhhh Mdau wa 24 hapo juu:
Yaani ktk picha zao za Magazeti ya Rwanda ile hata kuiweka Picha ya Mhe.Kikwete akiwa knweye Bench lake la KUTOA HOTUBA LENYE NEMBO MBELE YAKE YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, wameweka Picha ingine ya Kikwete siyo ya Juzi kwenye Hotuba ya Dodoma!.
WAMEOGOPA KABISA KUWEKA PICHA YENYE NENBO YA TANZANIA YA ADAM NA HAWA, WANAONA KAMA WAMESHA TAWALIWA NA TANZANIA VILE?
Kikwete Raisi wa Afrika ya Mashariki!
ReplyDeleteHotuba yake ya Dodoma juzi imelitikisa eneo Zima la EAC!
Rwanda ni miaka mitatu (3) tu imepita toka mmekubaliwa kuingia Jumiya ya Afrika ya Mashariki tokea mwaka 2010 na leo tayari mnataka Kutawala Jumuiya, mnataka kuathiri maamuzi, mnashinikiza mambo na mnalazimisha na kuingilia Mipangilio ya Jumuiya.
ReplyDeletePana mtu mmoja aliwahi nieleza ya kuwa watu waliowahi kutawaliwa na Wafanransa wanapenda sana amri na kushinikiza wenzao...ndio hawa Rwanda.
Hivi hamkumbuki ya kuwa ktk Jumuiya ya kwanza iliyovunjika mwaka 1977 hamkuwepo?
Wanyarwanda mnapenda sana kutawala lakini kutawaliwa ahhh hamtaki na mnaogopa, KAMA AMBAVYO MDAU WA JUU ANVYOSEMA MMEWEKA PICHA YA HOTUBA NYINGINE YA NYUMA MMEOGOPA KUWEKA PICHA YENYE NEMBO YA TANZANIA WAKATI KIKWETE ANAHUTUBIA!
Mhe.Raisi Kikwete ametoa Hotuba kwa Afrika ya Mahsariki na sio Bunge la Tanzania na Tanzania peke yake!
ReplyDeleteKtk masuala aliyoongelea mengi
1.Suala la utengano ktk EAC.
2.Masuala ya Amani na Mihimili ya Utawala bora ili kupata Jumuiya iliyo kuwa imara.
3.Suala la Kazi na Uhamiaji.
Hapo chini ni jinsi Magaezeti KENYA na UGANDA na RWANDA yanavyo zungumza kuhusu Tanzania ilivyo sahihi kuhusu EAC, AJIRA na AMANI na jinsi KENYA, RWANDA NA UGANDA ZITAKAVYO ATHIRIKA KUIKOSA TANZANIA KTK EAC
..................................
http://www.monitor.co.ug/News/National/Uganda-to-abolish-work-permit-fees-for-Kenya/-/688334/2050836/-/120jbt9z/-/index.html
http://therisingcontinent.wordpress.com/2013/05/30/open-letter-of-support-to-president-kikwetes-wise-statement-on-rwandas-fdlr/
http://www.kenyan-post.com/2013/11/raila-odinga-says-pacts-signed-by-uhuru.html
Mhe.Raisi Kikwete,
ReplyDeleteTunatumaini kutokana na Maoni mbalimbali kutoka kwa Wananchi na Viongozi wa ndani ya Afrika ya Mashariki na Tanzania kwa ujumla Hotuba yako ni FUNIKO BOVU ,hadi CoW yaani akina K3 wameshindwa Kujibu hoja hata moja!
Hivyo kinachotakiwa ni kupigilia Msumari wa mwisho ktk Jeneza la 'Coalition of willing' siku ya Kikao kijacho cha 30 Novemba, 2013 huku Kampala.
KTK YALE MAMBO 8 WANAYORUHUSIWA KUTENDA KWA MIUNDO MBINU KAMA KUNDI NI YALE 6 TU YALE MAWILI 2 YANYO HUSU EAC NI LAZIMA WAYAACHE NA KUANZA UPYA KWA KUSHIRIKISHA NCHI ZOTE 5 WANACHAMA WA EAC NA SIO 3 KAMA MPANGO ULIVYOSUKWA NA SIO KULETA UJANJA.
Mhe.Kikwete amehutubia Afrika ya Mashariki nzima!!!
ReplyDeleteSio mchezo amefumua kila idara nyeti ktk Hotuba.
.Ardhi
.Ajira
.Uhamiaji
.Agenda za utengano ktk EAC
Maneno haya itabidi akina Uhuru ,Kagame na Museveni waweke Recorind zake!!!
Chezea Tanzania weye???
ReplyDeleteWanywarwanda wana iogopa Alama ua Nembo ya Tanzania ya Adam n Hawa ktk Jukwa la Hotuba la Raisi Kikwete!
Alama ya Adam na Hawa ya Tanzania Wanyarwanda wanaiogopa kama Wayahudi waogopavyo Alama ya Nazi ya Hitler Mtawala wa iliyokuwa Ujerumani kabla ya Vita Kuu ya Pili!!!
Hapa Uingereza nimeongea na waganda wengi hamuelewi kabisa kiranja wao kwanza kwa swala la M23 wanamuona kabisa ni kizabizabina 2 .Kumbe hata maauzi mengi sana wanamuona msanii wa nguvu.Hawamwelewi kabisa na wanaona ni mojawapo ya kansa ya EAC.
ReplyDeleteMimi nawalaumu hao maraisi waliomwingiza kagame huyo ni nyoka na hamumuwezi asili yao ni hatari sana na wanajiona watawala kila wanapokuwa hadi kichefuchefu.
Yaani haka ka hotuba nakasoma na kurudia na kurudia nakasikiliza na kurudia na kurudia kama baba wa taifa RIP alivyokuwa anakaa na azimio la Arusha itabidi nikachapishe kwa ajili wanangu na wajukuu zangu. Hongera Raisi wangu JK
ReplyDelete