Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal akizungumza machache wakati wa shughuli hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Serena,Jijin Dar es Salaam.Usiku wa Khanga za Kale ni siku pekee ya Kuonyesha Mavazi yaliyobuniwa kwa kutumia Khanga,yanayoandaliwa kila Mwaka na Mbunifu wa Miaka mingi,Mamaa wa Mitindo Asia Idarous.
Mgeni Rasmi katika Maonyesho ya Mavazi ya Usiku wa Khanga za Kale,Mke wa Makamu wa Rais,Mama Aisha Bilal (kulia) akipokea zawadi ya Sahani iliyochorwa jina lake,kutoka kwa Muandaaji wa Maonyesho hayo ya Usiku wa Khanga za Kale,Mama Asia Idarous.
Bibi Bomba akifanya yake stejini.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...