Home
Unlabelled
JK AKERWA NA UCHOCHEZI NA UZANDIKI WA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mh Raisi tunashukiuru kwa busara zako.kukemea huko kusiishie kwa vyombo vya habari bali hata kwa baadhi ya mawaziri wetu kwani kauli zao pia ni za kuangaliwa kwa kina.Vyombo vyetu vya habari vimeshazoeleka na mara nyingi uzito wake si mkubwa sana kulingana na matamshi yanayotoka kwa mawaziri mi nadhani uwarudishe ngurdoto tena.
ReplyDeleteNi kweli hata nami sikufurahi kuona aina ile ya uandishi.Nakili kwamba tuna taabu kubwa ktk fani nyingi hapa Tanzania,wanataaluma wengi siku hizi wamekua wepesi mno si tu waandishi na fani zingine nazo kila uchao wanatuletea vilio na fedheha tu yaani hata fikra hawana.
ReplyDeleteWapo wapi wale watetezi wa haki za wanahabari? Au kufanya makosa kwa wahandishi kwao si tatizo! Ukweli wa mambo sekta hii ya imeingiliwa na kirusi kibaya na Serikali ikae kidete kuwaambia ukweli badala ya kuleana na kusingizia haki za kitapeli.
ReplyDelete