Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwika ndoo ya maji Bibi Asha Ahmadi kutoka katika kijiji cha Shinyanga A wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa maji wa Nyakafuru ulofanyika katika kijiji cha Shinyanga A,Wilayani Mbogwe, Mkoani Geita leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto Pascal John aliyelazwa katika kituo cha afya Iboya Wilayani Mbogwe wakati alipozindua Wodi ya akina mama leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa Umeme Katoro,Mkoani Geita leo.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Michuzi fanya mpango na jitihada zote Mama wa mtoto aliyeshikwa mashavu na Mh.Rais apate hiyo picha..Itakuwa kumbukumbu nzuri sana kwake na kwa mtoto ambaye atakuwa akiiona kila mara huku akiendelea kukua.Ni ombi langu mimi mdau wa blog ya jamii ninayejulikana kama Meku nikiwa huku ughaibuni kwa niaba ya Mama huyu na mwanae Paschal John.
ReplyDeleteNasapoti mdau namba 1. Ni kweli ni kumbukumbu nzuri, Halafu Kikwete ana upendo wa dhati wanaomchukia wana lao jambo. Nakupenda rais wangu, Mungu awe nawe daima inshallah.
ReplyDelete