Wanamitindo wanaoshiriki shindano la Tanzania Top Models, jana walihamia Giraffe Ocean View Hotel iliyopo jijini Dar es salaam kuendelea na Kambi yao iliyoanza 7/11/2013. Kwenye picha hizi wanaonekana wakielekea kwenye ukumbi wa Jetty kuendelea na mazoezi yao.
Wamependeza
Mdau akiongea na mmoja wa wanamitindo hao
Hivi models ni lazima wawe half naked? hizi culture za kuiga hizi sijui tutafika wapi.....watu waliozaiwa nchi za baridi sana inawezekana wakati fulani hasa hasa majira ya summer wakapendelea kuvaa nguo fupi (aina hii) kwa maana zao hizo za kimazingira...ingawa badi siyo "excuse"....sasa sisi waswahili (wa-TZ) watu wa nchi ya "ki-tropiki" hii tena iliyo kusini mwa jangwa la sahara tuna haja gani kuwaweka nusu uchi bint zetu hao?
ReplyDeleteMwili wa mwanamwali hasa wa ki-afrika kwa tamaduni zetu ni kitu cha thamani ni lazima uvalishwe nguo za heshima....hao ndiyo mama zetu wa baadaye sasa wanatembezwa half naked...why? na wao wanakubali...eti, models...hivi mtu (binti) akivaa nguo yake iliyomsitiri kwa heshima hawezi kuwa model?
Mimi nataka mnisadie contact za huyu Nuru, za wazazi wake, nataka nilete washenga kumposa. Nipo UK, raia wa UK, nafanyakazi na kulipwa "£50k p.a". Hivyo suala la viza halitakuwa na shaka.
ReplyDeleteMdau
UK.
Anon number 1, awe model bila kuonyesha vipaja vyake? Aaaa wapi, Na huo utamaduni wa Mwafrika nu upi? Wahimba na Waswazi unawajua weye?
ReplyDeletetunataka wawakolishi wa kweli sio watu watakaotutia aibu kila la kheri top model
ReplyDeleteUwe model lakini ujue kujiheshimu, kufanya kazi, kupika, kujitegemea na kujisimamia.
ReplyDelete