Mke wa Makamu wa Raisi Mama Aisha Bilali akiongea
katika kongamano la wanawake
wajasiliamali namna ya kuwainua wanawake wa Tanzania kiuchumi lililofanyika leo
katika ukumbi wa Mayfair Hotel , jijini Dar-es-salaam.
Mwenyekiti wa
Taasisi isiyo ya kiserikali ya Women Footprints Initiative (WOFI) Vida Nasari
Mndolwa akiongea katika kongamano la wanawake wajasiliamali namna ya
kuwainua mwanamke wa Tanzania kiuchumi lililofanyika leo katika ukumbi wa
Mayfair Hotel , jijini Dar-es-salaam.
Kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda katikati ni Mke wa Makamu wa Raisi Mama Aisha Bilali na Mwenyekiti
wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Women Footprints Initiative (WOFI) Vida Nasari Mndolwa katika kongamano la wanawake wajasiliamali namna ya
kuwainua wanawake wa Tanzania kiuchumi lililofanyika leo katika ukumbi wa
Mayfair Hotel , jijini Dar-es-salaam
Mke wa Makamu wa Raisi Mama Aisha Bilali akiangalia
bidhaa za waajasiliamali katika
kongamano la wanawake wajasiliamali namna ya kuwainua wanawake wa
Tanzania kiuchumi lililofanyika leo katika ukumbi wa Mayfair hotel , jijini
Dar-es-salaam. Kulia ni Mke wa Waziri
Mkuu Mama Tunu Pinda katikati ni Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya
Women Footprints Initiative (WOFI) Vida
Nasari Mndolwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...