Wafanyakazi na baadhi ya wageni katika siku ya maadhimisho ya saba ya siku ya mlipa kodi viwanja vya uhuru hotel mjini Moshi.
Wafanyakazi na baadhi ya wageni katika siku ya maadhimisho ya saba ya siku ya mlipa kodi viwanja vya uhuru hotel mjini Moshi.
Mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi akitunuku cheti kwa mkurugenzi wa hosptali ya KCMC Prof Moshi Ntabaye ambao ni mshindi wa jumla kwa walipa kodi wakubwa .
Mkurugenzi wa hosptali ya KCMC Prof Moshi Ntabaye akionesha cheti cha mshindi wa jumla kwa walipa kodi wakubwa.
Mkurugenzi wa hosptali ya KCMC Prof Moshi Ntabaye katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa hosptali hiyo wakiwa pamoja na cheti baada ya kutangazwa mshindi wa jumla kwa walipa kodi wakubwa .


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...