Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi ,Mh. Janet Mbene (Kulia) akimkabidhi tuzo na cheti Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Bw. Mark H. Wiessing baada ya benki ya NMB kuibuka mshindi kwa watoaji kodi wakubwa kwenye sekta ya huduma za kifedha, pia matawi ya NMB Mwenge na NMB Chakechake-Pemba yameshinda vyeti kama matawi yanayotoa msaada kwa walipa kodi wa wilaya ya Kinondoni na Chakechake.Tuzo hizo zimetolea katika maadhimisho ya 7 ya siku ya mlipa kodi yaliyofanyika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Home
Unlabelled
NMB MLIPA KODI BORA KWA MWAKA 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Ngapi Tshs. wamelipa kila mshindi wa ulipaji kodi????? Uwazi hakuna ktk taarifa?10
ReplyDeleteKweli kabisa mdau, kama serikali imependa kuwapa tunzo walipa kodi wangeweka wazi fedha walizolipa ili nasi tuweze kujua tuungane ktk kuwapongeza!!!!
ReplyDelete