Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu vya SAUT, St.Joseph na Chuo cha Ualimu Matogoro kwenye ukumbi wa Songea Club.
 Wanafunzi wapatao 650 wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye ukumbi wa Songea Club.
 Mkuu wa Wilaya ya Songea mjini Ndugu Joseph Joseph Mkirikiti(wa kushoto) akiwa pamoja na wadau wa elimu wa Wilaya ya Songea wakimsikiliza Karibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akiwasalimu wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyopo Songea .
 Katibu wa Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu Ndugu Christopher Ngubiagai akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu vya mjini Songea wakati wa kikao cha wanafunzi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Klabu ya Songea
Baadhi ya wanafunzi wakisikiliza kwa makini masuala mbalimbali yaliyokuwa yanajadiliwa kwenye kikao kilichowahisusha wanafunzi wa vyuo vikuu na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye ukumbi wa klabu ya Songea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NACHUKUA FURSA HII KUMPONGEZA KWA DHATI NDG.KINANA KWA STYLE YAKE YA UONGOZI,KWA KWELI KANIKUMBUSHA ENZI ZA BABA WA TAIFA KUWA KIONGOZI NI KUTOA MFANO.MATUKIO YA ZIARA ZAKE NA TIMU YAKE SEHEMU MBALIMBALI HAPA NCHINI NI JAMBO LA KUIGWA NA VIONGOZI WENGINE.NDUGU KINANA NA TIMU YAKO HONGERENI SANA.NAWAASA WENGINE WAIGE MFANO WAKO.WAACHE KUVAA SUTI WAKIENDA VIJIJINI.

    ReplyDelete
  2. Nd.Kinana onyesha njia tu pamoja nawe,style yako ni tofauti sana na viongozi wengine,muda mrefu viongozi wa aina yako hawakufanya unayoyafanya wewe wakati huu.Mfano kitendo cha wewe kukaa chini na kunywa chaina mjumbe wa shina la mchomora ni jambo la kuigwa na mzalendo yoyote.SIKU ZOTE NAJIULIZA kwa nini hukupewa wadhifa huu siku zote?ccm tungekuwa mbali.Mungu akupe nguvu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...