CHARLES BROWNE NINDI( Chief)

Leo tarehe 6-11-2013 umetimiza mwaka mmoja toka ulipotutoka bila neno la kwaheri.Charles,hakuna siku ipitayo bila kuku kumbuka kwa upendo, ukarimu na busara zako kwetu.

Ni vigumu kuamini kuwa ni kweli haupo nasi. Tunafarijika kwa kuamini kuwa Mungu alikuchukua kwavile alikupenda zaidi yetu. 
Tunajitahidi kujiridhisha kuwa huko ulipo unapata pumziko la amani. Japo haupo nasi kimwili tupo nawe kiroho siku zote.
 
Unakumbukwa na dada yako Anna,kaka zako Patrick na James,pamoja na ndugu,jamaa na marafiki zako.
 
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe,amen.
PUMZIKA KWA AMANI CHARLES(Chief)  
DAIMA TUTAKUKUMBUKA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...