.jpg)
Staff members of the Tanzania Embassy in Nairobi worked tirelessly in efforts to located Dr. Malick who was found at Nairobi Hospital General Ward.
Dr Malick was badly beaten by what is suspected to be a band of thugs who were trying to rob him, his condition remains stable as Doctors continue to monitor his health..
ReplyDeleteThank God for this if he is found alive
Asia countries especially south east Asia( Malaysia, Thailand,Indonesia, Singapore and Brunei) wanafanya a different thing they kidnap people and kill them to get organs such as heart, liver and eyes which are sold between 50000$ - 100000$ in the black market it all started with kidnapping and killings then they moved to another step i pray this bulshet wont get to Africa maana state of insecurity is everywhere
Tunamuombea Dua kwa Mungu madaktari wanaomtibu wampe tiba iliyo sahihi na apate afueni ya haraka. Hakika Wakenya wanachokifanya nikutuonyesha ni jinsi gani wasivyo tuhitaji kwao. Kwani ni wiki iliyopita tu kijana wetu wamemuua kwa njia hizo2. Lakini hapa kwetu wanaishi kwa raha sana, hakika hawa wenzetu ni wanyama sana. Watanzania mlio huko muwe makini hiyo si nchi salama kabisa. Mjihadhari sana na mtembee kwa kikundi siyo moja2. Mungu atawalinda.
ReplyDeleteWewe ano.wapili sijui unataka kutueleza vitendo vya uporaji na ukabaji havipo hapa Tanzania! Tembea peke yako usiku uswazi ndiyon utajua kama hapa ni Kenya au Tz.
ReplyDeleteUjambazi utekaji nyara umekuwa ukiripotiwa kwenye magazeti nchini Kenya hivi karibuni. Maaskari wazamani nao wamekamatwa wakishiriki vitendo hivyo vya uhalifu. Wanaoathirika ni wakenya na wageni pia kama tunavyoshuhudia. Ni kuchukua tahadhari kutotembea peke yako usiku na kuomba Mungu.
ReplyDeletePole Dr. Malick ugua pole.
ReplyDeletejamani ni kweli wakenya ni wanyama na wanaroho mbaya ni bora uuishi na mnyama wa porini kuliko mkenya hebu check wanavyotufanya vibaya. ni naswali wandugu mnisaidie kwanini watanzania tena waliosoma wanakosa kazi lakini mekenya anapewa kazi wakati huko kwao watanzania hawaajiriwi? Alafu serikali inaliangalia hili wakati watanzania wanateseka wakenya wananufaika na wakati wanatuuua kama kuku hivi huu ni uungwana?
ReplyDeleteGet well soon our only genius brother in the family. We pray for you to return home safely and cured
ReplyDeleteGet well soon my brother in low
ReplyDeletePole sana ndugu kwa kichapo
ReplyDeleteNow having said that, some people are too trusting and at times, simply gullible.They forget that some people have tails, ie they are "hanimals" So take certain precautions to protect yourself, eg you dont walk alone in some dark corners at night. My good friend was mugged and beaten up. His problem was he believed when a siren told him he was handsome and so on, never realising that the figure with sharp madodos and a tight skirt was a just a honey-pot trap.
What? brother in LOW?
ReplyDeleteJamani Kenya hata kwenye hoteli za kubwa za kitalii usiamini hata mfanyakazi. Mimi niliwahi kukaa katika hoteli moja Ambassador pale Nairobi. Nikapigiwa simu na reception kuwa kuna mgeni wangu. Mimi nilistuka maana Nairobi simjui mtu. Nikagoma kwenda kumsikiliza. Wale mapokezi wanaangalia jina na muenekano wako halafu wanawatonya watu wanaoshirikiana nao katika ughalifu. Kenya askari feki wako wengi tena wanazungumza kiingereza vizuri.
ReplyDeleteKenyans are bad People. PERIOD! These People have no love,very very selfish.No matter where u meet them. Tanzanians, u guys take care.
ReplyDeleteA Kenyan samaritan,that may sound quite oxymoronnic.Just so after all that generalisation about Kenyans you read above. But I had actually benefited from one when I was stranded at the bus station in Nairobi on my way from Kampala to Moshi.
ReplyDeleteibrahim
Anony wa brother in LOW umeniacha hoi.
ReplyDeleteWakenya sio watu wa kawaida. Ni wakatili kupindukia. Hata kama ni mgeni wako wamefika kwako kukusabahi. Lazima atoe maneno ya kashfa kwako bila hata soni.
ReplyDeleteNathani si waafrica halisi.
Uhalifu unaongezeka sana tukielekea mwisho wa mwaka uwe Kenya au Tanzania chukua tahadhari. uids
ReplyDeletewe are still praying for you dear brother, we already miss you we wish you quick recovery
ReplyDelete