Home
Unlabelled
M23 wajisalimisha Uganda - habari na VOA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa nchi za magharibi zitoe tunzo za nobel prize tp those country contributed to the peace in CONGO.Brave decisions by our excellence Kikwete to send our troops in congo.Congo peope deserve to live happily and peacefully.
ReplyDeleteKingine napenda nchi za Rwanda na Uganda lazima zijieleze nfasi zao katika kuwasaidia waasi hawa m23 ndani ya kikao cha EAC na maziwa makuu no EXCEPTION.Na ikiwezekana walipe kwa wakongo uharibifu uliotokea.Nani ambaye hajui kwamba rwanda inahusika sana na machafuko haya.Watu kama mseveni wanatakiwa waache nchi maana hanawa jipya zaidi ya kuleta machafuko ndani ya east africa.
viva MONUSCO AND TPDF.
Fungu la Kukosa ni fungu la kukosa!
ReplyDeleteMara ya kwanza mliitwa kwenye Mazungumzo mkaleta za kuleta dhidi ya Serikali ya Congo.
Mkafunja mazungumzo na mkazama msituni tena, kekele kekele Vita mmeshindwa na sasa mnarudi mezani mkiwa ''FUNGU LA KUKOSA'' ni kuwa:
1.Viongozi wenu wa juu 100 wamesha poteza Kinga na maridhiano hivyo moja kwa moja wana 'Arrest warrants' kutoka UN ,Marekani na ICC.
2.Hakuna tena ''Mkataba wa Makubaliano'' kwa ninyi Mliokuwa Wapiganaji wa Ngazi za Chini ila sasa mnasaini ''Kiapo cha Utii'' kwa kutorejea tena kwenye Uasi.
HAYO NI MATOKEO YA KUPOKEA USHAURI MBAYA KUTOKA KWA RAISI MUSEVENI WA UGANDA MPATANISHI ALIYEKUWA UPANDE WENU UKIANGALIA KWA UNDANI.
----------------------------------
Kwa Masahibu yaliyo wafika hawa Kundi la M-23 kwanza kushindwa ktk Vita na pili Kupoteza ktk Mapatano na Tatu wakiwa nchi ya ugenini ni Somo tosha kwa kupokea Ushauri mbaya kwa Mshauri mwenye Fikra potofu anyefikiri ya kuwa Dunia ipo kama meza na sio Duara,,,kwa kuwa Vita na Harakati zina pata potea inabidi kuwa makini kwa maamuzi yake.
----------------------------------
KAMA MNGEKUBALIANA NA SERIKALI YENU MWANZONI VIAMA HIVYO No.1 NA No.2 HAPO JUU VISINGEWAPATA, WOOOTE MNGEKUWA NYUMBANI DRC TENA NDANI YA MAJESHI YA SERIKALI !!!
NINYI NI FUNGU LA KUKOSA!
Tanzania DUME!
ReplyDeleteKikwete DUME!
Hawa jamaa M-23 wakati Tanzania ikipanga kutuma Majeshi ya JWTZ kwenda Vitani Congo-DRC si waliwahi kuandika Barua na kuituma Bungeni Tanzania kuitahadharisha Tanzania isitishe mpango huo?
ReplyDeleteLeo vipi tena?, wamekuwa wadogooo !!!
Chezea Tanzania weye?
Mbona huyu Makenga ana lafudhi kama ya Wanyarandwa?Utadhani sauti ya rais "POO KGM"
ReplyDeleteDavid V
David V
ReplyDeleteHistoria ya hao wanandugu POO KGM , M-7 mzee mzima Kampla na Sultani Mekenga ni hii.
1.M-7 anatoea ktk Kabila lililopo Magharibi mwa Uganda ambalo kimsingi ndio mulemule ktk Utusi.
2.POO KGM amezaliwa mwaka 1959 akiwana mwaka 1 hivi ama kidogo zaidi akahamia Uganda na wazazi wake akiwa Mkimbizi.
-POO KGM na huyu SULTAN MAKENGA wametumikia Majeshi ya Msituni sambamba na M-7 kutokea mwaka 1981 hadi mwaka 1986 na baada ya kutwaa nchi POO KGM akawa MWANDMIZI KTK MASUALA YA USALAMA YA SERIKALI UGANDA.
Baada ya miaka kadha UG yeye POO akaenda nje ya nchi kwa masomo.
-Mwaka 1990 baada ya POO KGM kurejea kutoka nje akasaidiwa na M-7 na SULTAN MAKENGA kuendesha RPA (Rwanda Patriotic Army)...ambayo sasa ni Chama Tawala cha Siasa ktk Serikali ya Kigali RPF (Rwanda Patriotic Front).
3.SULTAN MAKENGA alizaliwa Kivu, Mashariki ya Cong-DRC hivyo yeye ni Mtusi wa Congo-DRC, nae kupitia undugu wao huo huo wa Ukoo ndio inapelekea M-7 na POO KGM kumsadia SULTAN MAKENGA ktk harakati zake zileza M-23.
HIVYO UNAPOZUNGUMZIA M-7, POO KGM NA WATU KAMA HAWA AKINA SULTAN MAKENGA NI KAMA WATU WA UKOO MMOJA.
NI WATU WANAOFAHAMIANA SANA, NAWAMEKAA PAMOJA MARA NYINGI SANA.
HATA KTK MAPATANISHO M-7 ALIKUWA AME BASE SANA KWA UPANDE WA KUWABEBA KUNDI LA M-23.
KAMA PANA UWEZEKANO WA KUUNGANISHA UTAIFA AMA URAIA NADHANI HAWA WATATU POO,M-7 NA MAKENGA KILA MMOJA ANAWEZA KUWA NA PASIPOTI 3 YAANI YA RWANDA, YA UGANDA NA YA CONGO-DRC.
Tunaimani na KIKWETE, OYA OYA OYA, KIKWETE kweli kweli* 2,
ReplyDeleteTunaimani na Jeshi letu, oya oya oya.
Aisee, leo nimegundua kwa nini kuna joto hasira ndani ya EAC, kwa nini wana tu tenga TZ. Kumbe M-23 ndiyo shida coz tume wa adabisha na nyuma yao yuko M-7 na POO KG. Hahahaaa watajibeba mwaka huu na ICC inawasubiri kwa hamu.
Mdau wa 7 HABARI NDIYO HIYO KAMA ILIVYOTOLEWA KWENYE MAONI HAPO JUU No.6
ReplyDeleteHAWA JAMAA M-7, POO KGM NA WATU KAMA AKINA LAURENT NKUNDA , SULTANUMAKENGA NA YILE ALIYEPO ICC BOSCO NTAGANDA ALIYEJISALIMISHA MWENYEWE UBALOZI WA MAREKNI KIGALI-RWANDA WOOOTE HAWA NI WAARABU WA PEMBA WANAJUANA KWA VILEMBA.
NA MATATIZO YOTE YANATOKA HUMO HUMO MFANO KTK ENEO LA MASHARIKI YA CONGO-DRC PANA MAKUNDI YA WAASI KARIBU 40 AMBAYO YAPO YANAYO PINGANA NA MENGINE YANASHIRIKIANA!
HIVYO NI SAKA NYOKA TUPU NA VURUGU TUPU ENEO HILO WALA SIO VITA ZA KIMAMLAKA LABDA KUDAI UHURU, BALI...NA LA ZAIDI HAKUNAISIPOKUWA NI MASLAHI YA KIUCHUMI KTK UVUNAJI WA RASILIMALI HASA MADINI!!!
HEBU ANGALIA NCHI MASIKINI KAMA JAMHURI YA RWANDA IMEWEZA KUWA NA JEURI YA KUNUNUA NDEGE MPYA BOEING 3 TENA NEW MODEL!
KWA UCHUMI GANI WA RASILIMALI WANAZOMILIKI?
KWA UCHUMI WA KILIMO CHA MAJANI YA CHAI?, KILIMO CHA MAUWA NA KILIMO CHA KAHAWA?, PAMOJA NA UTALII WA MANYANI MAGHARIBI MWA NCHI YAO MILIMA RUHENGERI?
Mdau wa 7 hapo juu,
ReplyDeleteNdio maana Mr.Paul aliposhauriwa azungumze na Waasi FDLR na kupigwa kwa Kundi la M-23 alikasirika!
Ni vile aligundua Usanii wao wa Kindugu unaelekea ukingoni.
Teh Teh Teh POO KGM...Wabongo mnajua kutengeneza majina....
ReplyDeleteKtk hao Maboss wa Vita hapo juu No. 6 pana taarifa za wengine na Makundi zaidi ya Kivita Mashariki ya Kongo-DRC ambayo yanakadiriwa kufikia kati ya makundi 30 au 40 hivi!
ReplyDeleteMaboss wengine wa Vita zaidi ya POO, M-7, NA SULTANI MAKENGA.
Pana hawa hapa chini ambao wengi wao wamesha tolewa ARREST WARRANT/ Hati za kukamatwa na UN,Marekani,UK,FRANCE ama ICC:
1.LAURENT NKUNDA-alikuwa na Bosco Ntaganda wakiwa na Kundi la CNDP (Congolaise National Defence for People ) ambalo ndilo likageuka kuwa M-23 ambaye wenyewe Rwanda wamemweka NKUNDA Lupango tokea mwaka 2009 na wanabana habari za wapi alipo hadi sasa.
2.BOSCO NTAGANDA-alikuwa na Laurent Nkunda kama hapo juu inavyoelezeka, Ntaganda alijikabidhi mwenyewe Ubalozi wa Marekani Kigali na sasa yupo ndani ICC Kesi ikiendelea.
3.TOMAS LUBANGA (ama TOMMA LUBANGA)-amesha hukumiwa Kifungo ICC anatumikia Jela.
4.BISHOP FRANCOIS RUNIGA (alikuwa Raisi wa M-23 kabla ya Sultan Makenga)-RUNIGA sasa yupo Kigali amepumzishwa na Boss wake wa Vita baada ya kukwaruzana na Sultan Makenga ndani ya Kundi la M-23.
5.BERTRAND BISIIMWA-amewahi kuwa Raisi wa M-23 na sasa yupo Uganda, ndiye yeye aliotuma Barua kwenye Bunge la Tanzania akiishauri Tanzania isitume Vikosi vya TPDC huko Vitani Congo-DRC.
6.JAMIL MUKULLU-ni Kiongozi wa kundi la Waasi la Kiislamu la ADF hili ni Kundi linakusudia kuiangusha Serikali ya Kampala na lilianzisha harakati zake mwaka 1995 lipo Msituni Mashariki ya Congo.
7.JOSEPH KONY-anaongoza LRA (Lord Resistance Army) wapo Msituni wakipiga dhidi ya Serikali ya Kampala tokea mwaka 1987 mara tu baada ya NRM ya Museveni kushinda vita na kuingia madarakani.
JOSEPH KONY alipigana sambamba na Museveni wakiwa na NRM (National Resistance Movement) lakini baada ya kutwa madaraka wakatofautiana na hivyo kupelekea Kony akaingia MSITUNI hadi leo hii.
8.DENISE MUCCADAMURA-yeye ndiye Boss wa Kundi la FDLR ambalo linakusudia kuiangusha Serikali ya Kigali ndilo kundi na Kiongozi wao alishauriwa POO KGM afanye mazungumzo nao akakasirika na akakataa!
MAKUNDI YA WAASI YAPO KATI YA 30 AU 40 HIVI:
Makundi Makuu ni:
1.FDLR-Ina utitiri wa matawi ambayo mengine yanalipinga na mengine yanaliunga mkono.
.DLR-LND
.FDLR-CNU
.FDLR-CNP
2.MAI MAI-nayo ina utitiri wa Makundi yanayo linunga mkono na mengine yanalipinga.
.MAI MAI-Mashavu
.MAI MAI-Jeshi
.MAI MAI-Madevu
.MAI MAI-Simba
(Hahahaha!, baadhi ya majina ya Makundi kwa lugha ya Kiswahili yana chekesha kidogo).
Isipokuwa hao MAI MAI-Madevu ni Kundi la Mjambazi, WAHALIFU na Majangili wa Maliasili kwa kuua Tembo ktk mbuga na uwindaji haramu na wizi wa madini huko Mashariki ya Congo-DRC.
Hiyo kwa uchache ndiyo mchanyato na Kachumbari ya vurugu za Mashariki ya Congo-DRC!
Duhhh!
ReplyDeleteKwa analysis za Mdau wa 7 hapo juu ICC kutawaka moto, na kazi ipo kwa Maraisi wetu wa Kiafrika.
Kama baadhi ya Maraisi wamekuwa na mahusiano na hawa Waasi pana uwezekano mkubwa tukaja kusikia wamefikishwa ICC baada ya kutoka madarakani !!!
Kwa maelezo a No. 11 hapo juu bado ngoma mbichi kwa Majeshi ya Tanzania UN-BRIGADE.
ReplyDeleteIna maana kwa uchache kila Bossi wa vita hapo ktk hao 8 atakuwa na wastani wa Makundi yanayomuunga mkono ama yanayo mpinga kama ma 4 au ma 5 hivi kwa idadi ya Makundi ya Waasi 30 hadi 40.
HIVYO TUELEWE INGAWA M-23 WAMESHA SALIMU AMRI INA MAANA HUKO NYUMA MSITUNI NYUMA WALIKOWAACHA BADO KUNA MAKUNDI YANGALIPO YANAYO IWAKILISHA!!!
Moja kwa moja mynumbuliko huo unatokana na Makundi kugawanyika na mengine kuzaliana baada ya kutofautiana.
Lohhh ama kweli Makundi ya Waasi Congo-DRC kuna purukushani za GOMBANIA GOLI !!!