Bondia Said Uwezo (kushoto) akipambana na Sindano Paul wakati wa mchezo wao uliofanyika jumapili katika ukumbi wa Zulu Paradise, Pugu Kulumba, Dar es salaam uwezo alishinda kwa point mpambano huo. |
Mabondia Kaminja Ramadhani kushoto na Kalama Nyilawila wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Kalama alishinda kwa KO ya raundi ya kwanza |
Bondia Twalibu Mchanjo kushoto akipambana na Mohamed Kashinde wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Mchanjo alishinda kwa KO ya raundi ya tatu katika mpambano huo uliokuwa wa kusisimua |
Bondia Shabani Kaoneka (kushoto) akipambana na Saidi Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Mbelwa alishinda kwa KO ya raundi ya kwanza baada ya kumkalisha chini kwa konde kali. |
Kuna bondia wa Kitanzania amepigwa hivi karibuni nchini ujerumani. Muangalieni hapo chini, jina lake ni Chupaki Chipindi.
ReplyDeletehttp://www.dailymotion.com/video/xuba65_2012-10-13-rodion-pastukh-vs-chupaki-chipindi_sport