Meneja wa UMATI kanda ya Mashariki Dkt. Martin Sinje akimkaribisha mgeni rasmi katika hafla ya kufunga mafunzo ya watoa huduma za Afya ya uzazi wa mpango yaliyokuwa yakifanyika katika kijiji cha Ikwiriri wilayani Rufiji mapema hivi karibuni. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya UMATI Taifa na Mratibu wa huduma za afya ya uzazi Taifa katika ngazi ya jamii Bi Rose Wasira.
Mwenyekiti wa Bodi ya UMATI Taifa na Mratibu wa huduma za afya ya uzazi Taifa katika ngazi ya jamii Bi Rose Wasira akisisitiza jambo kwa wahitimu wa mafunzo ya utoaji huduma za uzazi wa mpango hawapo pichani alipokuwa mgen rasmi wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo hivi karibuni katika kijiji cha Ikwiriri wilayani Rufiji.Kushoto ni Meneja wa UMAI Kanda ya Mashariki Dkt. Martin Sinje na kulia ni Mratibu wa afya ya uzazi wa mpango(w) Rufiji Bi Gloria Mshana
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya utoaji wa huduma za afya ya uzazi wa mpango wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgeni rasmi(hayupo pichani)wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliofanyika kijijini Ikwiriri wilayani Rufiji mapema hivi karibuni.
Mwenyekiti wa Bodi ya UMATI Taifa na Mratibu wa huduma za afya ya uzazi Taifa katika ngazi ya jamii Bi Rose Wasira akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya utoaji wa huduma za afya ya uzazi wa mpango yaliyofanyika katika kijiji cha Ikwiriri wilayani Rufiji mapema hivi karibni.
Mwenyekiti wa Bodi ya UMATI Taifa na Mratibu wa huduma za afya ya uzazi Taifa katika ngazi ya jamii Bi Rose Wasira akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya afya ya uzazi wa mpango na wakufunzi wao na baadhi ya baadhi ya watumishi wa UMATI mapema hivi karibuni wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika kijijini Ikwiriri wilayani Rufiji. Picha zote na Frank Shija - Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...