Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye 'akitoa dozi' alipohutubia katika mkubwa wa hadhara uliohudhuria na maelfu ya wananchi katika uwanja wa shule ya msingi Mwaka mjini Tunduma wilayani Momba mkoani Mbeya, leo.
 Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano uliofanyika  Uanja wa shule ya  Mwaka, Tunduma,leo
 Sehemu ya umati wa watu waliofurika kwenye mkutano huo wa hadhara wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye aliwakonga nyoyo wakazi wa eneo hilo wakiwemo wapinzani kwa kusema kuwa hatakuwa tayari kuwavumilia viongozi wanaoshindwa kutatua kero za wananchi,waliojawa na umangimeza na urasimu.


Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mama Migiro ni mnyenyekevu sana. Kutoka UN hadi kuja kuzunguka zunguka na safari za utalii za ndani za kuzungumza na kujua mahitaji halisi ya Wananchi. Elimu yake ni ya juu kabisa lakini hajifaragui kama wezangu na mimi. Hiki sio kitu kidogo. Big up sana Mama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...