Mgeni rasmi akitoa vyeti wa
waliofanya vizuri ambapo Mrs Naima Malima alitunukiwa cheti kwa kujitoa kwake kuwasiadia na kuwainua wakinamama wa Mkuranga.
Miongoni mwa waliokabidhiwa vyeti alikuwa ni Bw. Gilbert Ngalima
hakuwepo na alipokelewa cheti chake na Katibu wa UVCCM Wilaya ya
Mkuranga Bw. Muhsin Zikatim.
Wachamama wa UWT wakifuatilia semina ikiendelea.
wa kwanza kulia ni Mwanahamisi Geruka katibu wa UWT Mkuranga, Mwansiti
Omari Mwenyekiti wa UWT
Mkuranga, Bi Janejely James ambaye ndio mgeni Rasmi katika mafunzo kwa
wanachama wa UWT Mkuranga, na wa mwisho ni Ashura Amanzi kaimu katibu
wa CCM wilaya ya mkuranga.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...