Taswira za mahafali ya cabin crew ya wafanyakazi wa Air Tanzania iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Jubilee Pension Tower jijini Dar es salaam hivi karibuni..jpg)
.jpg)
Afisa Mtendazi Mkuu wa Air Tanzania Capt. Lazaro akiongea na wafanyakazi
Sehemu ya wafanyakazi wa Air Tanzania
Mkurugenzi wa Operations Capt. Shaidi akiongea machache
Mmoja wa wahitimu akipatiwa cheti cha kufuzu
Picha ya pamoja


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Yale yale. Watumishi wengi ndege hakuna!!!!
ReplyDeleteMajanga.... Tundege chenyewe kipo kimoja.
ReplyDeleteMbona tuna ndege nyingi; wafanyakazi wachache?
ReplyDeleteHongereni sn na mjekua na uzalendo na shirika lenu la taifa,,maana hii ni AIBU KUBWA Tanzania kutokua na ndege,,mm nataka kuona ndege zetu za AIR TANZANIA ZINAFIKA HUKU UINGEREZA NILIKO,,naita the mdudu Kaka K
ReplyDeleteNimejitahidi kuisoma hii habari lakini sijaielewa, maana sina kumbukumbu kama nyumbani tuna shirika hai la ndege lenye cabin crew
ReplyDelete