Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa
sita mstari wa tatu nyuma) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa nchi mbalimbali za
Afrika wakati alipohudhuria katika Mkutano wa mkuu wa tatu wa nchi za Kiarabu, 'Afro Arab'
uliofanyika leo Nov 19, 2013 nchini Kuwait.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihudhuria mkutano mkuu wa tatu wa nchi za Kiarabu, 'Afro Arab' uliofanyika leo Nov 19, 2013, nchini Kuwait.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihudhuria mkutano mkuu wa tatu wa nchi za Kiarabu, 'Afro Arab' uliofanyika leo Nov 19, 2013, nchini Kuwait.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika, wakati wakiwasili kwenye ukumbi wa Mkutano wa Tatu wa nchi za Kiarabu 'Afro Arab', uliofanyika nchini Kuwait, leo Nov 19,
2013. Picha na OMR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...