Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, UN, Geneva, wamfanyia sherehe fupi ya kumuaga Bw. Lucas Saronga na familia yake, ambaye anatarajia kurejea nchini hivi karibuni kuchukua madaraka yake mapya ya ukurugenzi katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko.
Picha ya pamoja kati ya familia ya Bw. Lucas Saronga (aliyeshika bega mtoto) na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, UN, Geneva.Wa tatu kulia ni Balozi wa Tanzania,UN, Geneva,Mh. Modest Jonathan Mero


.bmp)
Nafikiri anaitwa Joseph Saronga siyo Lucas Saronga. hongera sana!
ReplyDelete