Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( aliyesimama), akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa semina juu ya soko la kukuza ujasiliamali wa ndogo na wakati, Novemba 7, mwaka huu kwenye Hoteli ya Oasis ya mjini Morogoro ( kushoto) ni Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Morogoro, Bachoo Sadik Bachoo, ( kulia) ni Makamu wa Rais wa TCCIA sekta ya Biashara Mkoa , Macmillan Moshy.
Baadhi ya washiriki wa semina juu ya soko la kukuza ujasiliamali wa mkoa wa Morogoro wakimsililiza Mkuu wa Mkoa , Joel Bendera, ( hayupo pichani) Novemba 7, mwaka huu wakati akizindua semina hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Oasis ya Mjini hapa.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wanne kutoka kushoto waliosimama mstari wa mbele ), akiwa kwenye picha na viongozi wa TCCIA Mkoa pamoja na washiriki wa semina ya wajasiliamali na wafanyabiashara wa Mkoa huo mara baada ya kuizindua Novemba 7, mwaka huu katika Hoteli ya Oasis ya mjini Morogoro, semina hiyo iliandaliwa na soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) chini ya udhamini wa Financial Sector Deepening Trust (FSDT).
( Picha na John Nditi).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...