
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula wakati alipokwenda nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae, Peter Philip Mangula kilichotokea Novemba 26, kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Mungu wangu(OMG)!!Pole sana mzee Mangula.Ni majuzi tu umepoteza binti mdogo kwenye ajali ya gari.Poleni sana familia ya Mangula kwa ujumla
ReplyDeleteDavid V
Maskini baba wa Watu .duh Yaani mwaka Mmoja kupoteza watoto 2 .Pole mzee
ReplyDeleteMwenyezi Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Bwana litoa Bwana ametwaa Juna lake lihimidiwe. Amen.
ReplyDeletePole sana Mzee wetu Mangula kwa kupotelewa na watoto wawili kwa mpigo.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu akupe ustahmilivu uweze kuhimili mtihani huu mkubwa.
Pole sana Mzee Mangula. RIP Peter.
ReplyDelete