Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, mHE. Bashir
Mrindoko akiwahutubia washiriki wa mkutano.
Mzee
Job Lusinde Malecela mwenyekiti wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira
Dodoma akichangia hoja katika mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya DAWASA, dKT. Hawa Sanare akijibu akichangia hoja katika mkutano
Mkurugenzi
wa Rasilimali za maji Wizara ya Maji, Hamza Sadiki akitoa ufafanuzi juu ya
vyanzo vya maji nchini.
| Picha ya pamoja Mwenyekiti wa Mkutano, Bashir Mrindoko akiwa na Wakurugenzi wa Mamlaka za maji nchini na wenyeviti wa mamlaka hizo. |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...