Kijana mwenye umri wa miaka 18 Ibanda Ruhumbika (kati) mwanamuziki wa KiTanzania anayekuja juu katika ulimwengu wa Jazz. Hivi karibuni alitumbuiza wapenzi wa Jazz (akiwa na Jon Batiste) kwenye Club maarufu ya Ronnie Scotts jijini London.
Home
Unlabelled
Mtanzania atia fora katika ulimwengu wa jazz ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante sana dogo. Endelea kulitangaza jina la nchi yetu Tanania.
ReplyDelete