Waendesha Bajaji wamebuni njia mpya ya kujaza mafuta katika Bajaji zao kama ilivyo shuhudiwa katika kituo kimoja cha mafuta cha Camel kilichopo Mbezi kwa Yusufu jijini Dar es Salaam.Picha na Chris Mfinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Je kuna mdau anayejua kwanini wanafanya hivyo?

    ReplyDelete
  2. Hapo ndio pale mfano wa mtu mlafi anayekula hdi anapiga mbwewe!


    Mwisho tanki litapasuka !!!

    Pana Hekay moja (Hadithi) jamaa alienda Kijijini kwao.

    alipofika tu ikawa hivi:

    1.Alimkuta Babu ametoka shamba kulima ameandaliwa Viazi vitamu vya kuchemsha na Maziwa ya mgando, jamaa akakaa na babu akafyeka ile anamaliza,,,

    2.Ile ana maliza Mjomba wake amewasili kutoka kupakua asali Porini na mabuyu kadhaa ya asali jamaa hakujivunga akalamba asali vibuyu kadhaa,,, ile anamaliza

    3.Baba yake anatokea Kuwinda porini huku akiwa na nyama za porini zilizobanikwa,,,jamaa akafyeka minofu kama hana akili.

    Matokeo yake AKAVIMBIWA!

    HUO NDIO UJAZAJI MAFUTA WA MWENYE BAJAJ ANAKUWA NI KAMA JAMAA ALEYEENDA KIJIJINI AKAFAKAMIA KARAMU YA ULAJI HADI 'BAJAJ' IKAWA 'BAJAZA'!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...