Wakimbiza mwenge wa amani wakiwa kwenye uwanja wa shule ya kimataifa st Costantine jijini Arusha wakati wakikimbiza mwenge huo mkoani Arusha leo mwenge huo upo nchini kukimbizwa na kesho unaelekea kupandishwa kwenye kilele cha mlima kilimanjaro ukihitimisha mbi zake zilizoanzia nchini Afrika ya kusini
Hapa wakimbiza mwenge wa amani ulioanza kukimbizwa hapa nchini jijini dar es salaam wakiwa kwenye shuele ya st constantine wakiwa na wanafunzi wa shule hiyo ikiwa ni ziara ya mwenge huo kwenye shule mbalimbali baada ya kuzinduliwa na mkuu wa wilaya ya arusha John Mongela kweny uwanja wa kumbukumbu ya sheikh Amri Kaluta Abeid jijini Arusha leo. Picha zote na Mahmoud Ahmad, Globu ya Jamii, Arusha)





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...