Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto-meza kuu) akizungumza
na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Uchukuzi katika Kikao
cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es
Salaam. Kulia (meza kuu) ni Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe.
Waziri
wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia-meza kuu) akizungumza na Watendaji
Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Kikao
cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es
Salaam. Kushoto (meza kuu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel
Nchimbi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu
wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Uchukuzi (hawapo pichani) katika Kikao cha
utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam.
Kulia ni Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Nawapongeza Sana Wahe. Hawa wawili kwani Wizara hizi mbili zinahitaji kufanya kazi kwa katibu hasa kwa kuzingatia majukumu Yao muhimu katika airports katika kukabiliana na uharifu wa biashara ya madawa ya kulevya. Suala hili Ni la kuigwa na wizara zote. Thanks
ReplyDelete