Ngoma ya Gregory Abbott ya "Shake You Down" iliturusha sana mwaka 1986

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ohhh Miziki hii tunakumbuka mbali.

    Ni bahati mbaya sana kamwe miaka hairudi nyuma!

    Masikini weeee tumebakia kufuta majasho ya vipara vichwani mwetu, wengine tuna unga kibao vichwani,

    tumezeeka kwa sasa!

    ReplyDelete
  2. Wimbo huu unanikumbusha mbali mno.. enzi hizo growing up katika neighborhood ya Sinza where everybody young person knows everybody, miaka ya 80s.. "The Whispers" group organizing parties..where brothers and sisters used to dance a lot to this tune. Days gone, but fond memories left behind....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...