Ofisa Mwandamizi wa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Tajudin Kamugisha akitoa mada wakati wa kongamano la wawekezaji wa sekta ya korosho jijini Dar es Salaam jana, Kuhusu mpango wa kuwashirikisha wakulima na kuwawezesha kiuchumi endapo watajiunge na NSSF na kufaidika na mafao saba ikiwemo mikopo kupitia vyama vyao vya ushirika kwa ajili ya kuendeleza mashamba yao. (Picha na Francis Dande)
Ufafanuzi.
 Washiri wa kongamano la wawekezaji katika sekta ya Korosho.
 Ofisa Mwandamizi Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salvatory Hinju akifafanua jambo kwa baadhi ya watu waliofika katika banda lao wakati wa kongamano la wawekezaji wa sekta ya korosha lililofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Ofisa Mkuu Operesheni wa NSSF, Juliet Chalamila.
 Wadau wakipata maelezo kutoka kwa Ofisa Mwandamizi Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salvatory Hinju. Katikati ni Ofisa Mkuu Operesheni wa NSSF, Juliet Chalamila.
 Wadau wakipata maelezo.
Wadau wa sekta ya Korosho wakiwa katika kongamano wa wawekezaji wa zao hilo.Kushoto ni Muhidin Ndolanga na wa pili kushoto ni Ofisa Mwandamizi wa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Tajudin Kamugisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...