Mjumbe wa NEC, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema
Nchimbi, akisisitiza alipozungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya
kikazi ya siku tatu kwa wenyeviti wa CCM wa kata 31 za wilaya ya
Kinondoni, leo, Nov 5, mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa
Dodoma Albert Mgumba na kulia ni Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma mjini,
Saad Kusilawe na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge.
Washiriki wakimsikiliza Mjumbe wa NEC, Mkuu wa
Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi (kulia) walipokuwa akifungua mafunzo
ya wenyeviti wa CCM wa Kata za wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, leo
mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge, akimshukuru Dk. Rehema kwa kufungua mafunzo hayo.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...