Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaa kuhusu mfumuko wa bei kwa Mwezi Oktoba 2013.

Na. Aron Msigwa – MAELEZO,Dar es salaam.

Hali ya kuongezeka kwa bei ya bidhaa za vyakula na bidhaa zisizo za vyakula katika maeneo mbalimbali nchini imechangia  kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa mfumuko  wa bei.

Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amesema kuwa mfumuko wa bei wa Taifa kwa Mwezi Oktoba 2013 umeongezeka hadi kufikia asilimia 6.3 kutoka 6.1 za mwezi Septemba 2013 kutokana na kasi ya upandaji wa bei za bidhaa na huduma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...