Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasha trekta wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi mjasiliamali wa kilimo, Filemon Choroha(chini kushoto) aliyefaulu kupewa kifaa hicho katika awamu ya pili ya program ya Wezeshwa na Safari Lager.Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam jana.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akimkabidhi mjasiliamali, Filemon Choroha kadi ya Trekta na funguo, ikiwa ni ruzuku ya program Wezeshwa na Saafari Lagar awamu ya pili ambapo mjasilamali huyo alifuzu kupewa. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam jana.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akimkabidhi mjasiliamali, Filemon Choroha kadi ya Trekta na funguo, ikiwa ni ruzuku ya program Wezeshwa na Saafari Lagar awamu ya pili ambapo mjasilamali huyo alifuzu kupewa. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam jana.Kushoto ni Jaji Mkuu wa Taasisi ya TABDS, Joseph Migunda, kutoka kampuni ya TABDS.
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kulia) akimkabidhi mjasiliamali, Filemon Choroha Trekta baada ya kufuzu vigezo katika awamu ya pili ya program ya Wezesha na Safari Lager. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam jana.

BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...