Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Rais Jacob Zuma katika mkutano wa pamoja wa SADC NA ICGLR katika ukumbi wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo  Novemba 5, 2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi rekebisha hapo leo ni tarehe 5 Oktoba 2013 na siyo 5 Oktoba 2013

    ReplyDelete
  2. We mdao hapo juu ni November, 5 na siyo October, 5.Thanks

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...