Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos Oktoba 2, 2013 .PICHA NA IKULU
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AMTEMBELEA DKT SENGONDO MVUNGI ALIYEJERUHIWA NA MAJAMBAZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Raisi wangu amuru ndani ya masaa 8 hawa washenzi wakamatwe na watakamatwa kweli! Si unajua polisi wetu mkuu wangu? Amuru Mkuu.
ReplyDeletepole sana, ila next time wakidai hela wape kdg chenji zilizobakia hawatakudhuru
ReplyDeleteTupigane na uhalifu tusiruhusu uote mizizi mpaka watu
ReplyDelete