Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos Oktoba 2, 2013 .PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mzee wa PoriNovember 04, 2013

    Raisi wangu amuru ndani ya masaa 8 hawa washenzi wakamatwe na watakamatwa kweli! Si unajua polisi wetu mkuu wangu? Amuru Mkuu.

    ReplyDelete
  2. pole sana, ila next time wakidai hela wape kdg chenji zilizobakia hawatakudhuru

    ReplyDelete
  3. Tupigane na uhalifu tusiruhusu uote mizizi mpaka watu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...