Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). Anayeongozana naye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwatumu Mahiza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit), akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali aliyefika kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mblaimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit).
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...