Mchezaji wa timu ya taifa ya Safari Pool, Patrick Nyangusi akisalimia wapenzi na mashabiki wa mchezo huo (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili kwenye tafrija ya kupongezwa iliyokuwa imeandaliwa katika Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Safari Pool wakiwa katika picha ya pamoja na medali zao za shaba wakati wa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika Meeda Sinza Dar es Salaam jana, mara baada ya kurejea kutoka nchini Malawi kweny mashindano ya Pool ya Afrika ambapo walishinda nafasi ya tatu kwa Afrika.Kulia ni Meneja wa timu, Nabil Hiza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...