Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano na habari Tanzania(ICT), Peter Mwasalyanda(kulia), Meneja masoko wa Red dot, Tapinder Dev Gariya,Mkurugenzi wa Red dot, Riaz Baruan,Mkuu wa kitengo cha mauzo cha Red dot, Samir Habib na Meneja uzalishaji wa Computa za Dell, Sameer Pareek wakipiga makofi mara baada ya kuzindua Computer mpya na ya kisasa ya Dell wakati wa hafla ya ukuaji wa tekinojia ya habari na mawasiliano nchini iliyofanyika Serena Hotel mwishoni mwa wiki.
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano na habari Tanzania(ICT), Peter Mwasalyanda(kulia),akijaribu kufanya jambo kwenye computer ya Dell mara baada ya kuizindua rasmi wakati wa hafla ya ukuaji wa tekinojia ya habari na mawasiliano nchini iliyofanyika Serena Hotel mwishoni mwa wiki.Kutoka kushoto ni Meneja uzalishaji wa Computa za Dell, Sameer Pareek, Mkuu wa kitengo cha mauzo cha Red dot, Samir Habib, Mkurugenzi wa Red dot, Riaz Baruan na Meneja masoko wa Red dot, Tapinder Dev Gariya.
Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano na habari Tanzania(ICT), Peter Mwasalyanda(kulia) akimkabidhi tuzo ya heshima mbunifu bora wa mwaka 2012-2013 wa Red dot, kutoka kampuni ya Sai Impex wakati wa hafla ya ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano nchini iliyofanyika Serena Hotel mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...