Jumla washiriki 14 waliwasili kambini tangu ijumaa iliopita katika hoteli ya JB Belmont jijini Dar es salaam na sasa wako katika mazoezi makali kujinoa na mchuano wa kuwania taji la uanamitindo bora wa mwaka 2013. Wanamitindo hao wako kimashindano huku mwalimu wa mazoezi ya miondoko ya kimaonyesho akiwa na kazi kubwa ya kuhakikisha kila mwanamitindo anaiva. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
MAZOEZI YA WASHIRIKI WA TANZANIA TOP MODEL 2013 YAPAMBA MOTO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...