TSHS. MILIONI TANO KUSHINDANIWA..... 


Mara, Mwanza, Arusha, Dodoma, Kagera, Mbeya, Mtwara na mikoa mingine mko wapi..?? 

Lile shindano la 'MPENDEKEZE ASHINDE vifaa vya KILIMO vyenye THAMANI ya Tshs. Milioni 5' linaloendeshwa na Balozi wa kampeni ya GROW Shamim Mwasha linaendelea.. Kwa masaa machache tumepokea maingizo 'entries' zinazokaribia 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini.... Umeshatuma pendekezo lako..?? Umeshampendekeza mama, bibi, shangazi, mke, jirani, rafiki mkulima mwanamke, mtanzania, mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea anayelima mazao ya chakula..?? 

Kama bado, fursa ndio hii.. Ni wakati wako sasa kumpa ZAWADI ya mwaka ya vifaa vya KILIMO vyenye Thamani ya Tshs. MILIONI TANO. Ndio !!! Tshs. 5,000,000/=

Ni rahisi sana... Bofya hapa --> 


Jaza nafasi zote 19 kisha bofya SUBMIT.. Hivyo tu.. 

Wekeza kwa Wakulima Wadogo Wanawake. INALIPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...