Joh Makini akiwapagawisha wanachuo waliofurika kwa wingi kwenye tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club ambalo lilishirikisha wanachuo toka KCMC,USHIRIKA,TUMAINI na MWENGE vyote vya mkoa wa Kilimanjaro.
 Msanii wa musiki wa kizazi kipya Joh Makini akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi laki saba 700,000 mshindi wa upande wa ubunifu wa mavazi Rogasian hipolite toka chuo kikuu cha Mwenge kwenye tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club.
 Mwakilishi wa kampuni ya bia nchini TBL kanda ya kaskazini Mwamba Stanslaus  akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi laki tano 500,000 mshindi wa upande wa Mavazi Nyanda Ikombe toka chuo kikuu cha USHIRIKA kwenye tamasha la Redd,s Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club.
 Katibu wa kamati ya maandalizi ya Uhurumarathon 2013 Innocent Melleck  akimkabibidhi zawadi ya kiasi cha shilingi laki nne 400,000 mshindi wa pili upande wa ubunifu wa mavazi Joyce Mchomvu toka chuo kikuu cha Ushirika kwenye tamasha la Redd's Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club mjini Moshi mwishoni mwa Wikend.
 Sehemu ya wadau waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo la Redd's Uni Fashion Bash lililofanyika katika ukumbi wa Gleciars Club mwishoni mwa wiki,huku wakikunwa vilivyo na msanii wa muziki wa kizazi kipya Joe Makini,tamasha hilo lilishirikisha wanachuo toka KCMC,USHIRIKA,TUMAINI na MWENGE vyote vya mkoa wa Kilimanjaro. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Msaada tutani! Kwa upeo wangu mdogo mimi nilidhani vyuo ni sehemu ya kupanua elimu na kupata wataalamu bora, haingekuwa jambo bora tungekuwa na shidano la wanavyuo bora badala ya wanamitindo bora?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...