Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Ramadhani Singano 'Messi' dhidi ya Ashant United. Simba umeshinda 4-0. (Picha na Francis Dande)
 Amis Tambwe akimtoka beki wa Ashanti United.
 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki akichuana na beki wa Ashanti United, Tumba Sued katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-2.
 Beki wa Ashanti United, Tumba Sued akichuana na mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-2.
 Jafari Gonga akichuana na Betram Mwombeki wa Simba (kushoto)
 Hassan Isihaka akimtoka beki wa Ashanti, Samir Ruhava.
 Ramadhani Singano (kushoto), Betram Mwombeki (katu) na Amis Tambwe wakishangilia bao lao la 4.
 Mwombeki akimshukuru mungu baada ya kuifungia timu yake bao la 4.
 Amisi Tambwe akimiliki mpira huku Jaffari Gonga akimzonga.
Betram Mwombeki akiwa chini baada ya kuumia.
Mwombeki akishangilia baada ya kufunga bao la 4.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ehe, wahaya nao wanachezaga kumbe mpira, hii kali ya mwaka

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza,

    Hata mimi nashangaa licha ya kucheza mpira ile tu Muhaya kuwa Msimbazi sijawahi kuona ndio hapa namwona Mwombeki,,,sijawahi kuona maana jamaa hawa wanaipenda Yanga sana kama alivyo Baba Isaya, Fred Felix Minziro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...